nviiri the storyteller - pombe isiwe tamu lyrics
[intro]
pombe isiwe tamu kushinda ile pesa inanunua
usingizi isiwe tamu ata kama kuna mvua
leo wakikuinia, kesho watakupindua
pombe isiwe tamu
(so fresh is on the beat)
[verse 1]
ukiwa frontline jua unaweza umia
but hapo ndio kuna njia
that’s for those who do not fear, fear
the sun will rise and the sun will set
isikupate ka hujajiseti
ongeza noti kwa kibeti
yeah yeah, ayy
[pre+chorus]
ikikwama, iforce
usikubali loss
only jah jah knows
yeah, yeah, yeah
don’t just do it because
you should die for the cause
only jah jah knows
yeah, yeah, yeah
[chorus]
pombe isiwe tamu kushinda ile pеsa inanunua
usingizi isiwe tamu ata kama kuna mvua
leo wakikuinia, kesho watakupindua
pombе isiwe tamu kushinda ile pesa inanunua
pesa wee, oh oh
[verse 2]
money on my mind, i got love for you
always on my mind, but where are you
trying to catch a flight looking so fly
hoping to land on you
usiwai tegemea binadamu
ukitaka kula life na adabu
machozi, jasho, ongeza na damu
abracadabra, wachia filamu
[pre+chorus]
ikikwama, iforce
usikubali loss
only jah jah knows
yeah, yeah, yeah
don’t just do it because
you should die for the cause
only jah jah knows
yeah, yeah, yeah
[chorus]
pombe isiwe tamu kushinda ile pesa inanunua
usingizi isiwe tamu ata kama kuna mvua
leo wakikuinia, kesho watakupindua
pombe isiwe tamu kushinda ile pesa inanunua
[outro]
pesa wee, oh+oh
pesa wee, oh+oh
Random Lyrics
- alexxx! - eine stunde lyrics
- młody west - list do ciebie 2 lyrics
- lipstickangel - don't know who i fell in love with - remix lyrics
- хмурной крам (doldrums crum) - doldrums crum dot ru lyrics
- cløver - this ain't love lyrics
- alle farben & parov stelar - drum lyrics
- lightbluee - futuro lyrics
- yatta bandz - a l o n e lyrics
- polygonizeblue - sunny lyrics
- drippin so pretty - drinking and driving lyrics