nyashinski - kebs lyrics
[intro]
nataka usikie hii ngoma gunz
sijui vile utafeel
already sijui vile unafeel
[hook]
umezoeshwa vibaya ndio hujiwezi, mmh
unaskiza jamaa mbaya bana, very true
nawashika bila kuwavalia navy blue
malaika ananishow “umeweka mapenzi juu!”
[verse 1]
rumours za ma-scandal za u-lover na lady drama
na ati statoe mahali uko na baby mama
kwa mitandao kila siku ni story new
bundles zako zikiisha utapitwa usipo-renew
ka pedi niko chini ya waba, leo dredi zinafungwa juu
naishi mahali juu kwa anga so daily na-enjoy the view
ukitaka kuona roho chafu
shika dooh kidogo uone vile utaboo watu
for ten years hamkuwa mnajali mahali nalala
hii screw driver yangu ni shimo gani ina-screw
mtu mahali ameamua hatalala salama
kabla ahakikishe ameambia watu nyash anaji-do
sitaki kuona watu wakiku-celebrate
role model na watoi wanaku-imitate
haumangi pekee yako tuna-split hii plate
au tuku-trendishe vile tulifanya jimmy gait
hii industry ina ma-demon, uko sure unataka fame?
pengine ndio maana si-blend in juu
unaweza-tell kuna vile mi na hao hatuko same
mi si ng’ombe yako ya gredi, duu!
[hook]
umezoeshwa vibaya ndio hujiwezi, mmh
unaskiza jamaa mbaya bana, very true
nawashika bila kuwavalia navy blue
malaika ananishow “umeweka mapenzi juu!”
kebs! eeh, standard ya quality, sisi hapa- kebs!
hii ndio standard ya quality… kebs!
kebs!
[verse 2]
yeah! nawaskia mkiongea naamua kukaa kimya
naona far ka twiga, au ka mjinga ama bouncer au napima
wazimu nawazima, kwa simu nina ya sima
ya mchuzi ndio sina
you can’t believe all this bullsh-t you’re reading
you can’t be really considering singing
big fat cheque for nyashinski, though
hata ka “mungu pekee” haikuwa na video
ana ngoma tatu pekee tumwitie nini show?
naskia kwenda ma-interview anaitisha millioni
you can’t believe all this bullsh-t you’re reading
you can’t be, you can’t be, you can’t be serious
you can be anything you wanna be
a drug addict, you drug addict
nyumba runda bado tu ni fantasy
list ni watu wawili, mi na king wa south c
mkipenya mnapenya but your eyes can’t see
uko busy tu kwa group tu, hating on me
eti oh, he has a big ego, he refused to follow me on ig
i’m not voting
god bless you even before you sneeze
it’s a free country you can do as you please
nikiamka sunday nijipate on my knees
nitakuwa nasema asante, sio please
[hook]
umezoeshwa vibaya ndio hujiwezi, mmh
unaskiza jamaa mbaya bana, very true
nawashika bila kuwavalia navy blue
malaika ananishow “umeweka mapenzi juu!”
[outro]
ndio yule wanayemsema yule
jina lake wanamwita ego, huyo
kubali mziki umeenda shule na ma-show si pia ndio hizo
Random Lyrics
- milton nascimento - espelho de nós lyrics
- lost in separation - winter sleep (acoustic) lyrics
- ari barokas - salaksın lyrics
- kinderen voor kinderen - lachen is gezond lyrics
- gadiel the kid - que rico fue lyrics
- yak (let it bang ent) - i thought you knew lyrics
- kali dreamer - newmaker lyrics
- smallville - me in february lyrics
- little mix - pop the balloons lyrics
- faith nketsi - mood lyrics