azlyrics.biz
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

nyashinski - lucky you lyrics

Loading...

[intro]
yeah, mm+hmm

[verse 1]
shin, we si binadamu anymore
we ni brand sasa, maisha yako ni show
media ina+scrutinise moves una+make
hakuna days off, ata kaa inaku+break
we baki kwa box tumekuweka, usitoke
hivo ndio tunapenda, usichoke
either you love me like you say you do
or just love what i do for you
either way, lucky you

[chorus]
lucky you, lucky you, lucky you
life yako si ni easy, lucky you
wakikuona wanachizi, lucky you
so many kids wanna be just like you (lucky you)
lucky you, aki you, lucky you (uh)
aki watu wanakupenda, lucky you (uh)
wakikuona wanachizi, lucky you
so many kids wanna be just like you (lucky you)

[verse 2]
yeah, yeah
na+try kuishi vi+righteous, ku+turn pages
ku+make changes, life changes
najua fame kutoka far inakaa painless
outsider ako naive to the dangers
hakuna sympathy kaa una+succeed
hao husema, “una+make doh, so don’t complain please”
sahau story ya privacy
we ni public property, no matter how your day is
ata kama deep down you don’t love me
picha na mimi itakuongezea likes ig
unakaa unaishi life wana+wish
hakuna mtu atakusikia hapa ukilia lia, “why me?”
room iko overcrowded after shows
ma+time, mi nataka tu ku+doze
sioni trophy inakam na kuwa na hoes
but kaa unani+like, i suppose
lucky you
[chorus]
lucky you, lucky you, lucky you
life yako si ni easy, lucky you
wakikuona wanachizi, lucky you
so many kids wanna be just like you
lucky you, aki you, lucky you
aki watu wanakupenda, lucky you
wakikuona wanachizi, lucky you (yeah)
so many kids wanna be just like you

[verse 3]
uh, ikiku+reach, hii na+hope ita+go deep
huna copy, mi ni chief chef, hakuna kitu new mnanisho
si kitu ya ku+vote, unajua mi ndio the g.o.a.t
before nirudi, uliona vile industry ilikuwa inabo?
nak+mbuka mkicheka, kapuka ilikuwa joke
mi niko kwa ring bado, nyi mlienda broke
juu tunaongea pesa, ukiona si utahepa?
wakiitiwa ma+show, vile hawa ma+king wana+quote
bora ganji inaingia
i had to go off+topic to reward your ear
juu tayari message iko loud and clear
we both know why you’re here (i’m the best!)
lucky you

[chorus]
lucky you, lucky you, lucky you (woo!)
life yako si ni easy, lucky you (and me)
wakikuona wanachizi, lucky you (just you)
so many kids wanna be just like you (yeah, yeah)
lucky you, aki you, lucky you (uh+huh)
aki watu wanakupenda, lucky you (uh)
wakikuona wanachizi, lucky you (uh)
so many kids wanna be just like you
[outro]
lucky you, lucky you, lucky you (brought to you by)
lucky you, lucky you, lucky you (kdagreat)
wakikuona wanachizi, lucky you
so many kids wanna be just like you



Random Lyrics

HOT LYRICS

Loading...