nyashinski - now you know lyrics
[verse one]
huyo ni fala mgani anaweka ma mng’ari
kwa list juu ya ferrari
ana degree au ni journalist tu juu ana list (whoop)
naskia wakiuliza ule boy wetu alienda wapi
amepotea ka zile mbegu watu walipanda na kanyari ye yee yeaah
na naskia inasemekena
ati rap zangu hukam na mkazo, na ile utamu ya reggea mama
ma ordinari wananikubali
na hata watiaji hawaezi kana
kuna wale hupenda sauti yangu
na iko wale husengenyana
[hook]
mama mama
kijana wako amepotea, ni maskio tu ye anatoboa
huku ndugu zake wakiendelea
mwenyezi pekee anaeza muokoa, ki maisha amelegea
ingawa hatuoni akitoboa, bado twazidi k-muombea amina
[verse two]
yeah.. sionangi haja ya ufisi
sina njaa najua mpishi
sijai fanya kazi ya ofisi
sijai lala kaa sijadishi
sijarap kitu kaa kutoka 06 ivi
trust me, siezi rust mimi
ata niache mziki miaka hamsini
nkirudi bado nawacrush nyinyi
niko 1st mie, ndani ya party na nguo rasmi
iimepigwa pasi
hapo katikati napiga mic check
juu niko party na niko night shift…
nlikua busy sikua najificha
clearly you rappers missed your teacher
vitu mnaandika zinachoma picha
niki-wish singewacha kuwafundisha
sauti naskia ni…
[hook]
don’t waste your time wishing you’re too proud my baby
too proud to wish they had an easy way out
let times get tough so they remember you are a blessing
when life is good they will forget to sayyy
[verse three]
naulizwa mbona nliacha mziki
ati nlikua mkali juu ya mic na namisiwa na mashabiki
nliacha game mapema hata kabla reffa haj-piga firimbi
bila kwaheri ati walishtukia tu ati kuna klepto mmoja haimbi
samahani nimepotea, shukrani kwa wale wamenifikiria
hizo miaka zote nimekua missing, lakini iko kitu hamjaniambia
kaa ningebaki bado, ungekua na taki ya kuskia nikiwaimbia
ama by saiii mngenifanya vile mnafanya ma pioneer
story kwa media ati nimechapa, niko juu ya madawa, nahangaika
show ni ule jamaa aliimbaa ‘ada ada’ ebu kam u curtain raisie mnaija
it’s not that serious, rap ni hobby
bila mziki bado namanga
ingekua career si ningekua nalia kuskia ati naija night nairobi
ambia new comer asijifeel sana
we ni mgeni siku ya kwanza tunakupenda (tunakupenda)
ukikaakaa tutachoka na wewe ivo ndio ku uenda (ivo ndio ku enda)
mi ni ule mgeni alikaa siku mbili tu
sikukaa siku mingi nkuachie nafasi ya kuchoka na mimi
[outro]
so now you know
shinsky
so now you know
beat ya keggah
so now you know
Random Lyrics
- beleaf - douchebag lyrics
- lvposeidon - wanted more (feat. frvme) lyrics
- blumentopf - du und ich lyrics
- king roscoe - step through lyrics
- kontra k - lass mal lyrics
- krzysztof zalewski - gatunek lyrics
- the ascendicate - you and me (the payoff) lyrics
- thelonious martin - bomaye lyrics
- fishing in japan - only on the weekends lyrics
- memento - allein lyrics