nyashinski - silencer (2024 remaster) lyrics
ni stupid kuargue na fools
so siezi argue na fool
nakaanga cool
naona masnake
wameona check wakaanza kudrool
ni kaa wako ma shrooms
najua magoons
naangusha chwani unaona platoon
imekuja mtaani
na wako na tools
pew pew pew
ngojeni ni ash
nimedi
relax
niwafanye wasound redikyulass
mshaharibu wax
siezi watrust
nyi ni kaa sunday hamnanga class
mi siendi loss
acha nicheke
unaongea ni kaa we ni boss?
unadai kulipwa ni kaa we ndio boss
na unaniitanga munene? hehe
hamjui nani mmecross
ask your sources nani ndio source
nyi ni kaa breakfast
nyi wote ni matoast
sausage samos
hamna asante
cash cow
kaa hatulipani
ma agent
wanaendesha aje maporsche?
kimbia kwa blogs
enda ukatafte public support
ubuy nayo mkate
circle ni small wareal ni wafew wengi ni ma actor
nimeskia iko mtu wa mkono +n+lia ati anataka kulipwa kama contractor
hao ni ma cancer
mfereji imefungwa, kama hiyo chapter
acha saa tuone nani atakukanja
vile hapa ulikuwa unakanjwa
unakula bars ni ka umedandiwa
tunaongelea character si ata maziwa
lines zinapiga unaona tu red kalilie masoja
unavamiwa
wow!
ni stupid kuargue na fools
so siezi argue na fool
nakaanga cool
naona masnake
wameona check wakaanza kudrool
ni kaa wako ma shrooms
najua magoons
naangusha chwani unaona platoon
imekuja mtaani
na wako na tools
pew pew pew
shin chilla leo niko kazi
na sina patience ya fitina
whisky namimina
black
f+ck hawa maduanzi
hao ni ma
mbilikimo wamesmama kwa shoulder za shaq
tamaa ya ganji
inafanya bp inapanda wivu inakupea heart attack
wanaomba maji
na hata sijamaliza kuwapepeta hii ni
counter attack
ati mnatry?
ati kuniharibia image?
f+ck hiyo image
tuongee kweli
naongea mavi un+n+sa sewage?
hatufanani
hatutoshani
unalisha family
nalisha village
nakuanga boss
unakuw+nga worker
media ikikuita waambie hiyo ndio leakage:
chungana na ras
gold ndio color kwa glass
madranya wananiona wanablush
drip ya hawa mafala inaclash
shin ndio jina mafan wanatrust
udaku ni ufala
heshima ni must
gossip ni ufala
heshima ni must
na ukipima na crash
unakula bars ni ka umedandiwa
tunaongelea character si ata maziwa
lines zinapiga unaona tu red kalilie masoja
unavamiwa
wow!
Random Lyrics
- $teven cannon - hola! lyrics
- emaa - luna și stelele (live) lyrics
- jean-pierre fromage - dans tes fesses lyrics
- nat lefkoff - rot lyrics
- ikilledgenji - pescador lyrics
- phantogram - it wasn't meant to be lyrics
- diobél - i bet!!! lyrics
- selena gomez & the scene - a year without rain (karaoke version) lyrics
- lil liar & pixelsdomain - walking in the dirt lyrics
- flaykee - ccc lyrics