nyashinski - time lyrics
[intro]
yeah, yeah, yeah, yeah, yeh
eeh, uh
[chorus]
kitu sina ni time, na day zina+fly (uh, yeah, yeah)
siezi afford ku+mark time mimi (ah+ah)
kitu sina ni time, na day zina+fly (uh+huh, yeah)
siezi afford ku+mark time mimi (yeah)
[verse 1]
uh, we ni rapper, si unafaa kuwa una+brag
juu ya bag? but wanang’am
vile inakam, ata kaa husemi
inner circle inaendanga tu ikikuwa pienga daily+daily
trust si natural kwako, bado ume+tense
plus kila mtu ana version yake ya events
ushanionesha na ukinionesha nacheki
ume+try ku+separate huu nutty professor na cake
mi ni provider na steti
jah my protector, wengine wakienda na ukedi
from ku+grow pamoja to saa kuonana wikendi
najua mnacheki niki+make it
nina masikio mahali siko
[chorus]
kitu sina ni time, na day zina+fly (woo)
siezi afford ku+mark time mimi
kitu sina ni time, na day zina+fly
siezi afford ku+mark time mimi
[verse 2]
hii kitu ni kaa interview
na+do kitu fiti, uko like, “hivi ndio ma+n+gga hu+do”
used to be sneaky, siku hizi hatufuchi hizi feelings
went from, “ni phase itapita tu” to “mapenzi hakika tu”
na+reason na roho, sio akili, risking like we don’t need to be doing
na inatuumiza juu tunacheza chini
i been through things, you been through things, so really
niki+imply hiyo ndio reason mi hukuwa hivi, i know you feel me
all gangsta mpaka tu+catch ma+feelings (alafu nini?)
alafu? alafu jea+lou+sy (ikifanya nini?)
ikishaingia kwa picha
huw+nga imeingia kabisa
[chorus]
na kitu sina ni time, na day zina+fly
siezi afford ku+mark time mimi
kitu sina ni time, na day zina+fly
siezi afford ku+mark time mimi
[bridge]
i feel like my hours go (they go)
faster than they used to go (ahh)
you feel like you need more time with me
(need more time with me)
i feel like my hours go (they go)
faster than they used to go (ahh)
you feel like you need more time with me
(need more time with me)
[outro]
kitu sina ni time, day zina+fly
siezi afford ku+mark time mimi
kitu sina ni time, day zina+fly
siezi afford ku+mark time, yeah, yeah
kitu sina ni time, na day zina+fly
siezi afford ku+mark time mimi
kitu sina ni time, na day zina+fly
siezi afford ku+mark time mimi
Random Lyrics
- btwn us - treat you better lyrics
- cipher - orphan's opus lyrics
- kops - i do the best i can lyrics
- matthew patton - heart break lyrics
- o-g-o - be my drug lyrics
- g-status - ceiling fan lyrics
- roc boyz - freaknik 2021 lyrics
- serena deena - ay like that lyrics
- dead boy - mračan stil lyrics
- morgendie - в тумане (in the fog) lyrics