azlyrics.biz
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

najma – neiba lyrics

Loading...

oh nanaanaa (najma) x3
mi najua unanipenda sana baby
na huwezi kuniacha najma x2
wala sijakufosi kw-ng kubwa nafasi x2
hebu fikiri na kutafakari jinsi gani uishi na mie eeeeh
ebu na kutafakari jinsi gan uishi milele
kuna nyingi story na ndefu chini ya jua nakula kiapo kwamba hutonisumbua
nakata mapori migogoro na njaa kuboresha penzi lilozid kila saa x2
mi najua unanipenda kwa sana baby



Random Lyrics

HOT LYRICS

Loading...