azlyrics.biz
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

obby alpha - bora kushukuru lyrics

Loading...

[intro]
oh, oh, oh
welcome to the music surgery
oh, yeah, yeah, yeah
(oh, yeah, yeah, yeah)

[pre+chorus]
bora hata nimshukuru mungu, kwa hivi nilivyo
maana hata kuna wengine hawajafika niliko
bora hata nimshukuru mungu, kwa hiki nilicho pata
maana hata kuna wengine wamekosa kabisa

[verse 1]
tabasamu, njoo
nataka nibadili w+ngu mtazamo, oh
niwaze kitajiri
na wewe, maumivu ‘njoo
nataka nibadili w+ngu msimamo, oh
niishi kijasiri

[verse 2]
ile habari ya kulia, lia, ‘kila siku
na kataa (na kataa)
na kama nilisainiwa mkataba nafuta, ah
ndugu tulowasaidia, wakaficha makucha (makucha)
wao walipo fanikiwa wakataka kutushusha (yelele, lele)
[hook]
nafuta zile, ‘why me, why me?
sij+pata kwanini, kwanini?
najawa ujasiri, ujasiri
nitapata na mimi, na mimi
nafuta zile, ‘why mimi, why mimi?
sij+pata kwanini, kwanini?
najawa ujasiri, ujasiri
nitapata na mimi, na mimi

[chorus]
bora hata nimshukuru mungu, kwa hivi nilivyo
maana hata kuna wengine hawajafika niliko
bora hata nimshukuru mungu, kwa hiki nilicho pata (oh, oh, oh)
maana hata kuna wengine wamekosa kabisa(ni bora)
bora hata nimshukuru mungu, kwa hivi nilivyo (ni bora)
maana hata kuna wengine hawajafika niliko (ni bora)
bora hata nimshukuru mungu, kwa hiki nilicho pata
(maana hata)
maana hata kuna wengine wamekosa kabisa
(yeah…)

(instrumentals)

[verse 3]
na nilipo, huenda kuna wengine wanapatamani
zamani huko, nilishakataliwa na watu wa nyumbani
kile kidogo, ninacho lalamika lakini nimepata
wengine huko, wamepambana wamekosa kabisa
k+mbe ni bora kuridhika na hiki nilichopata ndio yangu ridhiki
mungu ni bora, yeye hatabiriki
amekupa hicho, mi amenipa hiki
[hook 2]
nafuta zile, ‘why me, why me?
sij+pata kwanini, kwanini?
najawa ujasiri, ujasiri
nitapata na mimi, na mimi
nafuta zile, ‘why mimi, why mimi?
sij+pata kwanini, kwanini?
najawa ujasiri, ujasiri
nitapata na mimi, na mimi
(ni bora)

[post+chorus]
bora hata nimshukuru mungu, kwa hivi nilivyo (asante)
maana hata kuna wengine hawajafika niliko (ni bora, oh, oh)
bora hata nimshukuru mungu, kwa hiki nilicho pata (maana, oh, oh, oh)
maana hata kuna wengine wamekosa kabisa (ni bora, ah)

[outro]
bora nibadili w+ngu mtazamo, oh
niwaze kitajiri

(the mixing doctor)



Random Lyrics

HOT LYRICS

Loading...