obby alpha - haikuwa rahisi lyrics
[intro]
yeah, yeah
yeah, yeah, oh, oh
welcome to the music surgery
[pre+chorus]
haikuwa rahisi kufika hapa
ni nguvu zake
isingekuwa rahisi kufika hapa
ni mkono wake
bila mungu mimi siwezi (mimi siwezi)
mimi siwezi (mimi siwezi)
mwenzenu bila mungu mimi siwezi (mimi siwezi)
mimi siwezi (mimi siwezi)
oh, bila mungu mimi siwezi (mimi siwezi)
ai, ‘sijiwezi (mimi siwezi)
mwenzenu bila mungu mimi siwezi (mimi siwezi)
sijiwezi (mimi siwezi)
[verse 1]
kutoka kule chini, umenipandisha juu
umenipendelea daddy
nimepita milimani, nikashuka mabondeni
sijaona kama wewe
nilipo kata tamaa ukanipa nguvu
ya kuendelea zaidi
nimepita milimani, nikashuka mabondeni
sijaona kama wewe
kwa wengine ni kawaida
kufika kama nilipo leo
ila kw+ngu ni muujiza, nakushukuru (yeah)
ili ni gharimu sana, kupata nilivyo navyo
ila kw+ngu ni muujiza, nakushukuru
ndio maana nasema
[chorus]
haikuwa rahisi kufika hapa
ni nguvu zake
isingekuwa rahisi kufika hapa
ni mkono wake
bila mungu mimi siwezi (mimi siwezi)
mimi siwezi (mimi siwezi)
mwenzenu bila mungu mimi siwezi (mimi siwezi)
mimi siwezi (mimi siwezi)
oh, bila mungu mimi siwezi (mimi siwezi)
ai, ‘sijiwezi (mimi siwezi)
mwenzenu bila mungu mimi siwezi (mimi siwezi)
sijiwezi (mimi siwezi)
[instrumental break]
[verse 2]
sasa kipi nimefanya, hata nistahili unipe hivi vyote?
au kipi nimefanya, ukafurahi ‘kiasi cha kunipa heshima hii?
ila kitu gani yesu, nifanye waniseme nimeweza?
si wanijuwa vyema baba?
nilikuwa si chochote, si lolote
ukaniokota tena, ukaniokota
nashukuru kwa hapa nilipo leo
haikuwa rahisi nifike
ni wewe mungu uliamua
[hook]
kwa wengine ni kawaida
kufika kama nilipo leo
ila kw+ngu ni muujiza, ni muujiza
nakushukuru
kama si huruma zako, ningekuwa wapi?
ai, yeah
kama si rehema zako, ingekuwaje?
umenivua vazi la aibu, umenivika vazi la heshima, yesu
baba nashukuru…
ndio maana nasema, yeah
[post+chorus]
haikuwa rahisi kufika hapa
ni nguvu zake
isingekuwa rahisi kufika hapa
ni mkono wake
bila mungu mimi siwezi (mimi siwezi)
mimi siwezi (mimi siwezi)
mwenzenu bila mungu mimi siwezi (mimi siwezi)
mimi siwezi (mimi siwezi)
oh, bila mungu mimi siwezi (mimi siwezi)
ai, ‘sijiwezi (mimi siwezi)
mwenzenu bila mungu mimi siwezi (mimi siwezi)
sijiwezi (mimi siwezi)
[instrumental outro]
the mixing doctor
Random Lyrics
- yk swisha - white flag lyrics
- victor tavares - se olhar lyrics
- ishka - пора уходить (it's time to leave) lyrics
- cbz(zyabls) - подкаблучный год lyrics
- маша тихо (masha tiho) - glowing lyrics
- nikowoodyear - company .! lyrics
- madrane - la valise lyrics
- xristian daza - medium lyrics
- ameliy - zu spät lyrics
- artsolidaire, liay & whyna - carnet lyrics