obby alpha - niokoe lyrics
[intro]
ai, yeah
ai, yeah
baba weh
welcome to the music surgery
[pre+chorus]
nimelia sana, inatosha
nimelalamika, inatosha
nimelia sana, inatosha
mungu w+ngu niokoe
nimelia sana, inatosha
nimelalamika, inatosha
nimelia sana, inatosha
mungu w+ngu niokoe
[chorus]
niokoe
niokoe
niokoe
mungu w+ngu niokoe
niokoe
niokoe (niokoe)
niokoe
mungu w+ngu niokoe
[verse 1]
kama huu ni upepo wa machozi
basi gharika la furaha yako lije
na kama hii ni mvua ya huzuni
basi we uwe mwamvuli w+ngu
na kama hii ndio maana ya ukame
haya machungu najua mwenyewe
nisaidie mwanao nipone
msaada w+ngu ni wewe pekee
[hook]
ni mnyonge
ni mnyonge
ni mnyonge
mungu w+ngu nisaidie
ni mnyonge (mnyonge)
ni mnyonge
ni mnyonge
mungu w+ngu nisaidie
nimelia sana, inatosha
nimelalamika, inatosha
nimelia sana, inatosha
mungu w+ngu niokoe
nimelia sana, inatosha
nimelalamika, inatosha
nimelia sana, inatosha
mungu w+ngu niokoe
niokoe (niokoe)
niokoe (yesu weh)
niokoe (niokoe)
niokoe
mungu w+ngu niokoe
niokoe
niokoe (niokoe)
niokoe
mungu w+ngu niokoe
[verse 2]
hey
nimeshajaribu kupapasa
kutafuta faraja kwingine
ila kote huko ni wewe pekee
nimeshazunguka kwa waganga
na matabibu kote nimefika
ila kote huko nimeshindwa
faraja yangu ni wewe pekee
[hook]
uwe tiba
uwe tiba (niokoe)
uwe tiba
uwe tiba
mungu w+ngu niokoe
uwe tiba
uwe tiba
uwe tiba
uwe tiba (uwe tiba)
mungu w+ngu niokoe
(nimelia sana)
nimelia sana, inatosha
nimelalamika, inatosha
nimelia sana, inatosha
mungu w+ngu niokoe
nimelia sana, inatosha
nimelalamika, inatosha
nimelia sana, inatosha
mungu w+ngu niokoe
niokoe (niokoe)
niokoe (yesu weh)
niokoe (niokoe)
mungu w+ngu niokoe
niokoe (niokoe)
niokoe (niokoe)
niokoe (niokoe)
mungu w+ngu niokoe
Random Lyrics
- ralfy the plug - people's choice lyrics
- sashadidntwakeup - тысячи раз (a thousand times) lyrics
- lil chromozome - origins lyrics
- moody penner & swain - the green fields of amerikay lyrics
- a-f-r-o & stu bangas - hallucinogenz lyrics
- iris.wav - chercher la douceur lyrics
- joel baraza - bethany’s song/losing my mind. lyrics
- shadowle, dwg - а асадик пnдор lyrics
- lil grimm - on the run lyrics
- manic tl - zinfandels lyrics