azlyrics.biz
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

octopizzo - hakuna matata lyrics

Loading...

[intro]
gang
check check (check check check check!)
8+town
gang gang

[hook]
kenya hakuna matata
kenya hakuna matata
kenya hakuna matata
kenya hakuna matata
jambo, jambo bana
mambo, mtaani bana
form, gani sasa
pizzo the king and you know it

[verse 1]
kenya hakuna matata
na daily watu wanaukata
kenya hakuna matata
njaa mob turkana
kenya hakuna matata
politician wanatukanana
bei ya unga juu
chapo dunga juu
fare kwa mat juu
rat and rat chuom chuom panya route ndio zetu
kenya hakuna matata
nchi ya kitu kidogo
kenya hakuna matata
aafande anadai hongo
jambo, jambo bana
[bridge]
eeh jo kwa hawa ma tourist wanakuja hii area jo
msijaribu kudanganywa jo (chocha chocha chocha chocha!)
manze unaskia huku manze ni kata sana
pizzo de king and you know it

[hook]
kenya hakuna matata
kenya hakuna matata
kenya hakuna matata
kenya hakuna matata
jambo, jambo bana
mambo, mtaani bana
form, gani sasa
jambo, jambo bana

[verse 2]
jambo, jambo bana rambo
noma sana mambo
gani bana tergat
mi ni runner gifted
mi ni santa, eti hakuna matata
buda hio ni kata cheki
namba nane cheki
mathare cheki
ungwaro, githurai 44 cheki
korogocho, lungalunga wamesota cheki
njenga randa mek waya
buda ni kubaya iza
hawaezi fanya no wonder siku hizi ka ni job sisi
wanahire wanatulipa half price
no wonder tunawasanya
ati kenya hakuna matata
gava tunawakanya
eeh jo, gava jo bana acheni kutupima mavi jo
unafaa ukuje kibich jo uone venye kenya hakuna matata
gang gang

[hook]
kenya hakuna matata
kenya hakuna matata
kenya hakuna matata
kenya hakuna matata
jambo, jambo bana
mambo, mtaani bana
form, gani sasa
jambo, jambo bana

[verse 3]
kenya hakuna matata
juu tuko na wanyama
zote zimededi, juu tulizigeuza nyama
walitufungia ndani sana bila nyundo tukahama
walipanda wakishuka si bado tuko paha
grant yangu ikajipa, zao zote zikahaha
jambo, jambo bana
mbona, umesota sana
most wanted unatakikana
kenya hakuna matata (hold up hold up hold up hold up)
kenya hakuna matatu
levels pia ni tatu
first class, middle class si hapo ndio wa tatu
kuna wenye nchi, kuna wana nchi
kuna serikali, kuna sirikali
buda kenya hakuna matata
eeh manze jo
tunawajua tunawajua yaani
next time nikishikwa hapo airport usinianzie hizo za ovyo jo

[hook]
kenya hakuna matata
kenya hakuna matata
kenya hakuna matata
kenya hakuna matata
jambo, jambo bana
mambo, mtaani bana
form, gani sasa
jambo, jambo bana

8+town
gang gang
pizzo de king and you know it



Random Lyrics

HOT LYRICS

Loading...