octopizzo - maselina lyrics
pizzo de!
8town
maselina niko na shule uko kwetu
masselina niko na pesa nyingi sana
maselina niko na suti nyingi sana
ninaishi kule dubai
kesho narudi paris ee
nikisema niko maji pizzo the fish pweza cheza na flow
nikisema niko ganji mbuzi na cross buda praise the goat
praise the don pizzo kwa dhow
nipate lamu nimechil kwa boat
ambia shaabik rada ni harpic unadeal na the ish
zangu ni nappy ju mother hana ganji najidunga na pin
so ka ya haunikanji chezaga mbali na ufungage lips
yow windowz up and a whip it
windows up on a jeep scrr
fela kuti in ma dreams but
les wanyika ndio ma kings
maselina niko na shule uko kwetu
masselina niko na pesa nyingi sana
maselina niko na suti nyingi sana
ninaishi kule dubai
kesho narudi paris ee
kwa hizo chocha haunipati sipendi hype but daily na psych
niko ocha machapati ndegu kwa side after that ni mic
love yangu ni ya mtaani yako kwa sitеs unaongoja malikes
niko njaa na sahani kwa mama oliech nikingojaga rech
drip zangu za zamani bado ni wеt so ni maji na fetch
ei king david when i sling
making money in my sleep
bitcoin no receipts
silicon valley rift
aircon nikidrift
waki stair panda lift
maselina niko na shule uko kwetu
masselina niko na pesa nyingi sana
maselina niko na suti nyingi sana
ninaishi kule dubai
kesho narudi paris ee
Random Lyrics