octopizzo - njeri doobiez (abbas kubaff diss) lyrics
[intro]
yoh, tuanze: take one
lazima ushuke
saa hii usipo-rap venye uko na pesa hakuna mahali unaenda
uki-rap ati mi nimesota
aii, nani anataka kuskia watu wamesota?
ba-babz on the track
doobie, doobie
doobie, doobie
stupid
eti abbas
mister abbas a.k.a jerry doobiez
leo nakunyang’anya u-star
so utakuwa miss abbas a.k.a njeri doobiez
so let’s do this
eh, hii si biz man
mi niko serious
na-make dough
ukinichungulia na mlango (babz on the track)
[verse]
octo nakuwaga m-hot
reason kila mahali utapata ka nime-surround-iwa na ma-fans
lyrically poisonous
nikitema unaeza dhani siku hizi kwa ulimi niko na ma-fangs
three years kwa game na tayari
nishapatiwa ma-ranks
mc amesota, na anajaribu kujiona kwa bank
maze, abbas we ni m-whack
na una-sack ka gunia
kwa hip hop najivunia, we unavumilia
reason utanipata kushoto nikicheka
n-gga, nakuwachia kulia
huwezi fungua macho uone kimya anakutumia?
kwa hii game ushafika menopause, hauwezi flow
umekula chumvi nyingi kwa game
mpaka ukiangalia nyuma mazee huskii unageuka
bibi ya lot
kwa game mi ni mchanga sana kwa brain niko na a lot
high ka pilot mwenye ako juu ya tot
cheki man, niko mbele
unapigania nyuma ka msenge
juu si-si-si-si-si kupenda kw-ngu
abbas skiza genge
ma-bomboclat, n-gga, nime-grow up nikiskiza reggae
cheki, una-hate chiwawa juu unaogopa kuumwa
huwezi nitaja kwa diss track juu unajua utatumwa
una-hate jua cali juu anakunyima vitamin d
fanya bidii
fungua macho, hauna ma-show, jaribu kuuza ma-cd
acha kujiona g juu una-roll na wasee wa digi
acha kujiona dj una-roll na wasee wadiju
to be or not to be, i got to be
doobiez or not doobiez; i’m ygb
octo p-i-double z-o-o
na ka hujui kwa hii game mi ndio ceo-o
daily n-z-di ku-blow
man, westie, westie
k-manina hiyo k-south flava
cheki, kwa hii game mi ni sean paul, we ni sasha
in short, we ni b-tch, backbiter ka snitch
mtaa bado ni kibich namba nane
bonga sh-t, nikushike low ka mbachu za easich
naku-throw kwa ditch
tayari niko underground
mi sina time ya kujaribu kupata ma-b-tch
mi siko media hungry
kenye nadai ni dough
kenye nimekuja kukuambia hapa hivi
sipendangi ku-jam lakini ulinijamisha
na mimi ni ule boy hushika nare daily ka worker wa kplc
ngoma zako nilianza kuziskianga kbc
man we ni mzee sana, a-la-la-la-la
saa zingine mi hushindwa hata nikuambie nini
unajiona uko na chapaa
na bado reason ukishika mic unajiitanga “rich boy”
lakini lyrically kwa hii game hauwezi nifikia, n-gga
hauwezi ni-reach boy
unajiona ati mi ni boy wa juzi
kwa hii game si story na juzi
ni story na ujuzi
si kupokea mic na kuanza kutema upuzi
man, ati ukishika mic unasema venye uko na
nine inches kwa boxer
na kw-ngu hiyo ni ka d-ld-
tangu uwachwe na mresh
najua saa hii kuna increase in your libido
uh-oh, iza jo, nime-get personal
octo, unajionanga chali
lakini ukibeba shati juu kenye mi huonanga tu daily, man, ni ma-pot belly
octo maze, mi na we hatuwezi toshana
hatutawahi meet, tuko parallel ka chuma za reli
lakini kwa game bado mi ni heavyweight ka chuma za meli
nakuwacha in a dilemma ka ya kelly na nelly
unajiona hardcore
lakini kw-ngu bado ukitema hauskii we hu-sound ka r kelly
man, una-talk about kukuwa na ma-calorie
na mi kila time nikiangalia face yako
unakaanga ka ule mtoi anaugua beri beri
umesota huwezi buy ata fan wako pk, labda mr. berry
mr. jerry
kwa hii game niko so sorry lakini nitakwambia kwaheri
[outro]
iko nini?
na hii ngoma haina hook
juu tayari nilisha-hook up na baby g
yeah, namba nane homie
yeah, tuna-take over
hauwezi reply
yeah, ba-babz on the track
si unajua hapa hivi ndio capital city ya h-i-p h-o-p
underdawg production
yaani we nimeamshwa tu leo, ati nimekuona kwa telly kwa vibe city uki-yap yap
ata nilikuwa nimelala, saa hii imebidi niingie kwa booth nianze ku-rap
reason na-sound ni ka niko lazy
lakini man, hauniwezi
eh, kwa hii game hauwezi man
we ni mzee, man
we ni mzee, we ni mzee
inafaa yaani nakutuma home hata bila pension
next time jina yangu ukiwa kwa interview, usijaribu ku-mention
(mi-mi na-like chapaa, we una-like chapaa)
(mi-mi na-like chapaa, we una-we una-like chapaa, ha-hah)
abbas umesota!
man, hivo ndio una-sound ukijaribu kuji-compare na mimi
i’m above your average
doobie, doobie
doobie, doobie
stupid
Random Lyrics
- g herbo - koolin lyrics
- cliffwood - ice on the rocks lyrics
- welshly arms - learn to let go lyrics
- k sos - wolman's revenge lyrics
- i wanted you - t dot flirtz lyrics
- el chaval de la peca - y, ¿cómo es el? lyrics
- mapache - auf wolken fliegen lyrics
- the pancakes - skinner's mouse lyrics
- dave matthews & tim reynolds - crush - live at radio city lyrics
- bo deal - debo lyrics