azlyrics.biz
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

octopizzo - swaga za wapi lyrics

Loading...

maswagga za wapi nikifanya mnacopy
maswagga za wapi officer kunihoji
maswagga za wapi kuzozana kwenye ploti
maswagga za wapi wanasanya na haitoshi eh eh

mi ni yule jamaa napenda madem
siwezi kaa bila bila kubongesha toto
kula chako pekee, yako
mimi mimi sihitaji chako wee

kinduku kiwake alafu mashuksha
kwa hayo machache napiga tequilla

maswagga za wapi nikifanya mnacopy
maswagga za wapi officer kunihoji
maswagga za wapi kuzozana kwenye ploti
maswagga za wapi wanasanya na haitoshi eh eh

sema kenye unadai niko dubai
sema kenye unadai niko mumbai
sema kenye unadai niko shanghai
sema kenye unadai, kenye unadai nitabuy

changamka kila ngware
gizani hesabu zangu mita
ramadhan nimetinga kaa rada na kitita
maswagga za wapi nikifanya mnacopy
maswagga za wapi officer kunihoji
maswagga za wapi kuzozana kwenye ploti
maswagga za wapi wanasanya na haitoshi eh eh

mizani vina, ni gani mi sina
imbo mi sina zako za china
gizani kichaa, maganji ni shida
uliza jina, (pizzo de) mi ni shida

kizazi kipya mi ndio leader
swagga zenyu zote pipa
kwenye boxer cheki fifa
niko messi hii la liga

maswagga za wapi nikifanya mnacopy
maswagga za wapi officer kunihoji
maswagga za wapi kuzozana kwenye ploti
maswagga za wapi wanasanya na haitoshi eh eh



Random Lyrics

HOT LYRICS

Loading...