octopizzo - tamaa lyrics
pizzo de!
you know it you know it
you know it you know it
8town 8town 8town 8town 8town 8townn
pizzo de you know it
nilianza nilianza enzi za ukoo lakini hadi leo uski
bado nan’gaa
mother alihustle hustle sana shule nilimada na
doo tulipata kwa chan’gaa
nikiamka mi ushtuka sana kwani kuliendaje ndio
tukafika hapaa
tulisota tukasota sana but sikuwai give up
nashukuru jah jah
kuchangisha nilichangisha mama nak+mbuka
pesa zako zile zote za chama
walikula kila siku nyama sisi pale kando ni matee
tamaa
mama natambaa
nawish ungeona venye sikuizi nan’gaa
tamaa niliacha
nakula nyama zote zenye nafaa
mama natambaa
nawish ungeona venye sikuizi nan’gaa
tamaa niliacha
nakula nyama zote zenye nafaa
mbaibe, bebebebaaby
nasema mbaibeee ee
mbaibe anadai anadai
na mtoto akililia wembe atawai atawai
nasema mbaibee ee andai anadai
na mtoto akililia wembe atawai atawai
walai mangwai siezi lie daily niko high
sijawai sitawai kuchochwa hapa kule na hype
napaa nanglaa pewa moshi daily shada
nashanga mamaa nawashish ungekua asapaa
magucci na prada ungeva kila kitu unataka
pamba za white kabla ukae chini wanawipe
mama natambaa
nawish ungeona venye sikuizi nan’gaa
tamaa niliacha
nakula nyama zote zenye nafaa
mama natambaa
nawish ungeona venye sikuizi nanlgaa
tamaa niliacha
nakula nyama zote zenye nafaa
mama mama mama mama mama mamaa maaamaa
this is dedicated to all of you that got succesfull to late
we got successful to late mama
8town the don
mama nanlgaa nawish ungekua asapa
mama nan’gaa nawish ungekua asapa
nane nane nane nane
namba nane nane nane
pizzo de! you know it
Random Lyrics
- oldis - oni sú weak lyrics
- tobe nwigwe - southside flow lyrics
- lucky tapes - happiness lyrics
- barikat - çal çalkala lyrics
- frangipane - kyle j lyrics
- mvko - exile lyrics
- hi crime - mania days lyrics
- glenn leroi - scp-939 song (with many voices) lyrics
- super whatevr - worse lyrics
- jihan audy - ojo suwe suwe lyrics