azlyrics.biz
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

og kev - shangilia lyrics

Loading...

ayolizer
kibe, kibe kibee
kibe ni mshindi mwingine kibee

kibe kutoka ccm chama
sio chama kingine kibee

kibee kibee hee! kibee
ameshinda mwingine
kutoka chama kubwa chama
sio chama kingine

oooh! wazanzibar shangilia shangilia
hussein mwinyi rais kashachangulia
kwa hii hali yetu
aendeleze ilani ya chama

zanzibar yetu
ye kaja kuinyanyua
hussein mwinyi
mikono salama

ye ataendeleza mazuri yake sheni
utawala bora
utawala bora uchumi na amani

kwa bashasha
natamka hussein mwinyi rais w+ngu
sijalazimishwa, sijashurutishwa
nimemchagua kwa kura yangu

oooh! wazanzibar
shangilia shangilia
hussein mwinyi
rais kashachangulia

mchapa kazi mzalendo
mlinzi wa muungano wetu
wanamapinduzi yetu
hongera rais wetu

rais nani? rais nani?
ni hussein mwinyi
hatoki ikulu
mpaka miaka k+mi

eeeh! zanzinbar daima mbele
kwa bashasha kwa furaha
natamka natamka mimi

hussein mwinyi rais w+ngu
eeh! hongera rais w+ngu
sijalazimishwa, sijashurutishwa
nimemchagua kwa kura yangu

oooh! wazanzibar
shangilia shangilia
hussein mwinyi
rais kashachangulia



Random Lyrics

HOT LYRICS

Loading...