omary kopa - sema kweli lyrics
semaaaaaaaa
semaaaaaaaa kweli yakooo
semaa kamaaaaaaa wanipendaaaaaaaa
semaaaaa
semaaaa kwelii yaaaaaaaaakooohh
sema kamaaaaaaaaaa wanipeeeeendaaaaaaaaa
nitakaaaaaavyooooooo
niwe wakooo, usioneeeee nakugandaaa
nitakaaaaaavyooooooo
niwe wakooo, usioneeeee nakugandaaa
mapenzi yako ni ghali
mapenzi yako ni ghali
ghali yalo thaminika
mapenzi yako ni ghali
mapenzi yako ni ghali
ghali yalo thaminika
nayaomba kila hali
nayaomba kila hali
nayaomba kila hali
kwa thamani utotaka
nayaomba kila hali
nayaomba kila hali
nayaomba kila hali
kwa thamani utotaka
niyapate kweli kweli
niyapate kweli kweli
moyo utafurahika
moyo utafurahika
niyapate kweli kweli
aaaaah ya habaitti
moyo utafurahika
moyo utafurahika
sema sema kweli yakoooo
sema kama wanipendaaaaa
sema sema kweli yakooooo
laa aziziz
sema kama wanipenda
nitakavo niwe wako usione nakugandaa
nitakavo niwe wako usione nakugandaa
aaah!
oohhhhh
aaaaahhhh
lalalaaaaaa
thamani unayopenda
thamani unayopenda
taja sitonung’unika
thamani unayopenda
thamani unayopenda
taja sitonung’unika
kufa juu ya kupеnda
kufa juu ya kupenda
kufa juu ya kupenda
kwa mtu hapana shaka
kufa juu ya kupenda
kufa juu ya kupеnda
kufa juu ya kupenda
kwa mtu hapana shaka
juu yako nna konda
juu yako nna konda
na hali nasawijika
na hali nasawijika
juu yako nna konda
aaaah ya habitti
na hali nasawijika
na hali nasawijika
sema sema kweli yakoooo
sema kama wanipendaaaaa
sema sema kweli yakooooo
laa aziziz
sema kama wanipenda
nitakavo niwe wako usione nakugandaa
nitakavo niwe wako usione nakugandaa
aaah!
oohhhhh
mmmhhhh
aaahahahaaaaa
lolote sitoogopa
lolote sitoogopa
niko radhi kuteseka
lolote sitoogopa
lolote sitoogopa
niko radhi kuteseka
nakupenda nnaapa
nakupenda nnaapa
nakupenda nnaapa
wala sifanyi dhihaka
nakupenda nnaapa
nakupenda nnaapa
nakupenda nnaapa
wala sifanyi dhihaka
ukweli w+ngu nakupa
ukweli w+ngu nakupa
nia sitobadilika
nia sitobadilika
ukweli w+ngu nakupa
yaa habitti
nia sitobadilika
nia sitobadilika
sema sema kweli yakoooo
sema kama wanipendaaaaa
sema sema kweli yakooooo
laa aziziz
sema kama wanipenda
nitakavo niwe wako usione nakugandaa
nitakavo niwe wako usione nakugandaa
ya habiby moyo utafurahikaa
sema sema kweli yako sema kama wanipenda
nitakavo niwe wako usione nakugandaa
aaah!
oohhhhh
aaaaahhhh
lalalaaaaaa
sumu kula sitoweza
sumu kula sitoweza
kukukosa sitotaka
sumu kula sitoweza
sumu kula sitoweza
kukukosa sitotaka
bora takubembeleza
bora takubembeleza
bora takubembeleza
hadi utaporidhika
bora takubembeleza
bora takubembeleza
bora takubembeleza
hadi utaporidhika
nambie nasikiliza
nambie nasikiliza
hofu ipate nitoka
hofu ipate nitoka
nambie nasikiliza
aaaah ya habitti
hofu ipate nitoka
hofu ipate nitoka
sema sema kweli yakoooo
sema kama wanipendaaaaa
sema sema kweli yakooooo
laa aziziz
sema kama wanipenda
nitakavo niwe wako usione nakugandaa
nitakavo niwe wako usione nakugandaa
semaaaaaaaa
semaaaaaaaa kweli yakooo
semaa kamaaaaaaa wanipendaaaaaaaa
semaaaaa
semaaaa kwelii yaaaaaaaaakooohh
sema kamaaaaaaaaaa wanipeeeeendaaaaaaaaa
nitakaaaaaavyooooooo
niwe wakooo, usioneeeee nakugandaaa
nitakaaaaaavyooooooo
niwe wakooo, usioneeeee nakugandaaa
Random Lyrics
- michæl augustine - welcome home bullet eater (intro) lyrics
- deviant rogue - plastic era lyrics
- sabrina song - busy work lyrics
- emily roberts - green eyes lyrics
- taylor swift - lavender haze (radio edit) lyrics
- fucktotum - ciao ciao patente goodbye lyrics
- oscar and the wolf - somebody without u lyrics
- rew - diagnosis lyrics
- color. (artist) - wake up (freestyle) lyrics
- the progress (band) - maybe, maybe lyrics