azlyrics.biz
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

one the incredible - 40 barz lyrics

Loading...

habari mnoko/ nina habari moko/
huwezi timiza kazi kama askari choko/
juu ya daftari ninatafakari msoto/
kwa mistar mitamu kawa cadburry coco/
hii ni cl-ssic, move kama dance/
nawapa hisia kali zaid ya muvie za mikasi/
kwenye chart zao wao washindani mi nafasi/
sifanani nao mimi ni zao wao ni nyasi/
mwanaharakati ka` kikosi na siasi/
mistari ina siri nzito kama boksi la risasi/
siko c-cky nipo confident consciously active/
kwenye booth niko lost kama park ya jur-ssic/
geneous niliefeli ku-p-ss mathematics/
kama rap ni drug mi nna habit kama addict/
spit kama rabbit kwenye 8 mile
love or hate it hardly debated hii ni anytime cl-ssic/
verse balanced ka account ya fisadi/
kwako mlevi wa u-star kama round za vinywaji/
dunda kavu au bounce na kinywaji/
skia biashara kwenye speaker naita sound za miradi/
nna ujumbe mtam kama sound ya kingasti/
snitch ask around niko down na illmatics/
na-spit kwenye mic ka risas nipo kasi
so huwez p-ss around ka upo stuck kwenye traffic/
aah… sibutui nashoot haswa/
tui hujui siku zote vipi unisumbue kilaza/
mdundo mweusi nausugua kama nna msasa
mpaka duke ateme slang kama movie ya kihustler/
hii kwa wote wanaoikubali sio flani na flan waipende/
mi ndo moko makutano ya mistar kama stand ya mwenge/
yafanya wengi waende mbali waache wachache wakae kizembe/
kaa mbali nasi au kaa sawa nikulenge/
sa kaa sawa snitch mi ni dawa ka g.v/
hawa wanahisi ila hawapo sawa kama sisi/
na kama mkavu hapa utanawa utakuwa mbichi/
money ni power respect unaipata ukiijua na displine/
kama kiongoz wa dini nampenda mjinga na mtoaji/
kitaani w-nga hunihofia kama bingwa wa uponyaji/
linda chako mjinga watu wanawinda hawako safi/
ukizingua unagongwa tako kama mznga wa konyagi/
nampenda haswa anahisi anaijua heshma/
daktar rudia darasa mimi ni ugonjwa usio na jina/
anashangaa dina mara hawa mara huyu we ni buyu mi ni moko sawa sawa…



Random Lyrics

HOT LYRICS

Loading...