azlyrics.biz
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

osuwojr - ameniroga lyrics

Loading...

huh,huh,huh,huh,huh,oh my!

etty!etty!ameniroga
etty!etty!ameninasa
etty!etty!amenishika mtima wueeh,huku walahi siondoki

lakini ni mapenzi ooh,mapenzi ooh,ni mapenzi
nasema ni mapenzi ooh,mapenzi ooh,ni mapenzi

nikiamka ananikanda mabega mapaja
kw+ngu baridi haina uhuru
na kabla jogoo awike,twawika kitandani jirani aamshwe na nduru
kama ni urogi,bebi endelea kuniroga
kama ni mapenzi basi endelea kunipenda
na kama ni ushenzi ,acha izidii me ni chizi
na kama ni laana zishiishe ,zipande kupanda

cause baby,i like it,ah!ah!ah!ah!
cause baby ,i like it,eh!eh!eh!eh!
cause baby,i like it,yeah!yeah!yeah!yeah!
cause baby ,i like it,yeh!yeh!yeh!yеh!

pretty little girl,you muh girl,you know that
lemmе put muh phone on dnd mode, wanna keep your mood lit
d and d’s in the dark like i’m bat+man
lights on,body glowing like a virgin wonder+woman
oh!wow!oh!wow! gonna give the pleasure that you need
oh my!oh my!cookie tasting like hot+caramela
they didn’t get me when i told them ” i’m already taken”
now they see you in your glow,they are really shaken
etty!etty!ameniroga,niroga,niroga
!etty!ameninasa,ninasa,ninasa
etty!etty!amenishika,nishika,nishika
mtima wueeh,huku walahi siondoki,siong’oki

lakini ni mapenzi ooh,mapenzi ooh,ni mapenzi,mapenzi
nasema ni mapenzi ooh,mapenzi ooh,ni mapenzi, mapenzi

basi tetema,tetema,tetema wakuone wueeh,tetema
tebu zungusha,zungusha,zungusha wakuone,wueeh,zungusha
tebu ongea ,ongea,ongea wasikie wueh, ongea
basi wueeh ,cheka,cheka,cheka wakuone wueh cheka



Random Lyrics

HOT LYRICS

Loading...