azlyrics.biz
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

osuwojr - mapenzi lyrics

Loading...

oh my
no no no no no no noooo ooh

wanasema, mapenzi huwa sumu
lakini kwako ni sumu
kwa mwenzio ni chakula so tunadishi

wanasema, mapenzi huwa sumu
lakini kwako ni sumu
kwa mwenzio ni chakula so tunadishi

tunadishi mbaya, ooh ooh
tunadishi mbaya,yeah yeah yeah
tunadishi mbaya, tunadishi mbaya

wanasema, mapenzi huwa sumu
lakini kwako ni sumu
kwa mwenzio ni chakula so tunadishi
oh my!oh my

dust!dust,dust
tunaona dust,yeah
tunaona giza,giza
tunaona dim,dim
tunaona darkness,darkness
tunaona red,red
but si ya love,nnoo
but si ya valentine’s,no no no
but si ya heart,yeah
but si ya ,but si ya ,ni danger ahead
oh my oh my
aki love hizi streets it’s so dangerous
etty nani,ni wa nani ,na wa nani ,na wanani,na wanani
hadi nani hajui etty nani ndio nani
hajui etty nini,tangu lini
suprise suprise,tuki sanitize
more cry,more cry tuki open up

open up
me ni boychild sitawahi give up
mkitaka cheza games me ndoo mom
in your dms nikisema sina dem
in my dms ukiuliza who’s that
who is that ?kwani hauoni ,who is that
who is that?hauwezi soma who is that
loml kopa kopa loml

noo no no no noo noo
yeah yeah yeah yeah yeah

wanasema, mapenzi huwa sumu
lakini kwako ni sumu
kwa mwenzio ni chakula so tunadishi

wanasema, mapenzi huwa sumu
lakini kwako ni sumu
kwa mwenzio ni chakula so tunadishi
yeah! tunadishi,tunadishi
yeah! tunadishi

what !the problem about you steven
you love too much,yees
you fall in love easily ,too much
is like you are desperate for love
you are desperate for love
are you desperate
what’s wrong?

wanasema, mapenzi huwa sumu
lakini kwako ni sumu
kwa mwenzio ni chakula so tunadishi



Random Lyrics

HOT LYRICS

Loading...