osuwojr - nimegongewa lyrics
huh,huh,huh,huh,huh,oh my
huh,huh,huh,huh oh my!
kusema ukweli baby gal me nilikupenda
na ukaahidi milele tu kama defender
mbona sasa unaniruka etty waenda
juu ya nani ,juu nini ,imekuwa my blunder
so nauliza mbona unanidanganya
juu saa hii unabonga ni kama haunijali
vile tulikuwa ka chapo na dengu
na saa hii unabonga ni kama me stranger
nimegongewa,gongewa, gongewa
imepepetwa,imepepetwa,imepepetwa
ona sasa ninabongeshwa ,kama me jambazi
walai inauma lakini kulia zii
aah
walisema ni a must,but in us i had some trust
you’ve shown the dust,inabidii sasa i hide my face
no face ,no case lakini smile yako nimejaza kwa gram
na nikilala daily,kwa ndoto ,you’rе still the one
aheri,but i hatе i gotta let you go
nishakubali hii mapenzi iko no more
can’t blame you, can’t blame them
we all know,etty mwanzo ina mwisho
i wish i heard them when they told me oh boy don’t be so sure
of this young love,might mess you up,nakushow
they kiss for fun,they date for dare but the truth
there we go now,you want more sp+ce,nikutrust
niko paranoid, it’s just more privacy,some quiet time alone
nimegongewa,gongewa, gongewa
nimebondewa,bondewa,bondewa
nimeonjewa,onjewa,onjewa
imepepetwa,pepetwa,pepetwa
kusema ukweli baby gal me nilikupenda
na ukaahidi milele tu kama defender
mbona sasa unaniruka etty waenda
juu ya nani ,juu nini ,imekuwa my blunder
so nauliza mbona unanidanganya
juu saa hii unabonga ni kama haunijali
vile tulikuwa ka chapo na dengu
na saa hii unabonga ni kama me stranger
mapenzi sumu ,but daily,tunaomba idumu
juu darling,hatuezi pretend,no feelings
kuanza hating ni uongo
we used to be the love birds before this turned bad
na tuna ubongo kwa uwingi,so don’t you play dumb
hatuezi bonga forgiveness,hata binguni ni witness
no more thirst,no more trust,chenye imebaki ni nonsense
take your friends,take your buddies
i’m stripping off the memories
nilikuwa delulu,wote ni delilahs
please tell my boys i love them ,but i even loved you more
and tell my daughters i adore them but i couldn’t stay long
na wakitaka kunijua,i promise i’ll be around
take the keys,take them cheese narudi another round soko
nikajaribu hii nyota tena kwa mpigo
so many fishes in the lake but adwaro mbuta
sitaki type yangu type yangu ishanif+ck up
check it up,turn in up kama ain’t your type
Random Lyrics
- double0glizzy - you ain’t neva lyrics
- tarkan - sevdanın son vuruşu "suat ateşdağlı mix" lyrics
- felipe araújo - on-line é fácil lyrics
- yoshixoxo - galore lyrics
- darviin - ojos de girasol lyrics
- miraie - sorry for breaking up lyrics
- lil venefyx - time after time lyrics
- clouds (doom metal band) - chain me lyrics
- солома (soloma) - you wanna die :) lyrics
- ajay jegan - in my room lyrics