otile brown - jeraha lyrics
(vicky pon this)
kunguru ata kalishwa
nyumbani ato kaa
katili huna nafsi huna huruma
ata kwa ushahidi macho nilifumba
sikutaka kuamini niliogopa itaniuma
kwamba msaliti wewe
kwa tamaa za muda mfupi
penzi bahari umelitosa
kawekeza muda mwingi
k+mbe bure najichosha
iweje wewe tuliojenga kwa juhudi
umebomoa
zile ndoto na mipango
ya kufunga ndoa
jeraha subiri lipone
bado naliuguza
jeraha uchungu natamani ukome
nipe likizo mwenzio
jeraha subiri lipone
bado naliuguza
jeraha uchungu natamani ukome
nipe likizo mwenzio
wajua wakati mwengine najiuliza
au pengine haya mapenzi yana mwenyewe
ama pengine mimi ndio sina bahati
au pengine tu w+ngu dio hajazaliwa
maana kila ninapojitweka imani
kila ninapoanza safari ya mapenzi
meli inapongoa nanga tu inagеuka ferry mtongwe
d+mn siamini
after all wе’ve been through
how do you sacrifice so much for so little
kwamba msaliti wewe
kwa tamaa za muda mfupi
penzi bahari umelitosa
kawekeza muda mwingi
k+mbe bure najichosha
iweje wewe tuliojenga kwa juhudi
umebomoa
zile ndoto na mipango
ya kufunga ndoa
jeraha subiri lipone
bado naliuguza
jeraha uchungu natamani ukome
nipe likizo mwenzio
jeraha subiri lipone
bado naliuguza
jeraha uchungu natamani ukome
nipe likizo mwenzio
Random Lyrics
- daron hagen - nautical language lyrics
- paranoise (pl) - bong song (wiadrologia) lyrics
- otile brown - niacheni lyrics
- reflect church - miracles lyrics
- biinjo - 50 follower freestyle lyrics
- lancelot (swe) - natten lyrics
- black tie dynasty - crime scene lyrics
- joe l - ovet paukkuu lyrics
- burial extraction - victory over death lyrics
- gonemage - pixel expedition lyrics