otile brown - mapenzi hisia lyrics
Loading...
tunapendeza pamoja ni dhahiri
tuliumbwa tuwe pamoja baby
na sisi huwaga pamoja daily
na kama kando yake hukuniona jua sipo mbali
maana me ni kivuli chake ye, aendako na me nakwenda ee
haijalishi uendepo wapi ee,, nishike mkono twende wote ee
maana me kivuli chake, aendapo na me nakwenda ee
haijalishi uendako wapi baby nishike mkono twende wote sote
tunapendeza pamoja ni dhahiri
iiii aaaahh mapenzi hisia eii
aaaah mmoja anakuridhia eeeh
aaah mapenzi hisia eeh aaaah
mmoja anakuridhia
haijalishi unampenda nani herera herera
basi niambie unampenda nani herera
Random Lyrics
- t-low - auf die nacht* (snippet) lyrics
- armor - the hotspot lyrics
- a$tro (phl) - pabalik balik lyrics
- swats - digital romance lyrics
- sammy rash - your clothes lyrics
- lowell liebermann - snow-flakes lyrics
- violent crimes - metaphor lyrics
- ethic entertainment - zigizaga lyrics
- 666swish - hellboy lyrics
- los rojos - lamento lyrics