azlyrics.biz
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

otile brown - terminator lyrics

Loading...

《?》
[verse 1]
mapenzi ya siku hizi sio kama ya before
unaweza wekeza kila kitu ulichonacho mwisho ukatoka zero
sina muda wa kuzuga ‘sema ukweli wako
maana maji yamezidi unga ‘yamenifika kwako

somebody tell me ‘how to please a woman
somebody show me ‘how to please a woman
but i’m gone, i’m away ‘just to please a woman
spend all my money ‘just to please+, yeah ( a woman )
ye ndio kisa niko club
kila siku ni masela na ulabu
nyumbani hapakaliki tabu ‘kesi, mash+taka ninasomewa vitabu, ooh yeah

(?), basi nenda
hii hapa talaka yako ‘rudi kwa mama yako
oh yeah
(?), basi nenda
hii hapa talaka yako ‘rudi kwa mama yako
mmm, oh ‘terminator
oooh, oh terminator
oh, ter+, terminator
mmm, terminator
mmm, oh ‘terminator
mmm, tеrminator
oh, ter+, terminator
mmm, terminator

mbona una complicatе na maisha simple?
utaniua na stress na makasiriko
mbona una complicate na maisha simple?
utaniua na stress na makasiriko

somebody tell me ‘how to please a woman
somebody show me ‘how to please a woman
but i’m gone, i’m away ‘just to please a woman
spend all my money ‘just to please+, yeah ( a woman )
ye ndio kisa niko club
kila siku ni masela na ulabu, ah
nyumbani hapakaliki tabu ‘kesi, mash+taka ninasomewa vitabu, ooh yeah

(?), basi nenda
hii hapa talaka yako ‘rudi kwa mama yako
oh yeah
(?), basi nenda
hii hapa talaka yako ‘rudi kwa mama yako
( oh yeah )
mmm, oh ‘terminator
oooh, oh ‘terminator
oh, ter+, terminator
mmm, terminator

oooh, ‘terminator
mmm, terminator
oh, ter+, terminator
mmm, terminator

Random Lyrics

HOT LYRICS

Loading...