otuck william - push it lyrics
intro:
push it, push it, push it, push it, push it…!
oh oh uuh, mmmh…
verse 1:
haya machozi yataleta furaha, dakika moja tu nami
na haya majonzi hayatodumu sana, niamini ubaki na mimi
so nitazame machoni, tell me what you see
na unacho feel moyoni, its everything you need
na ukiniacha mimi, nani atakutuliza?
the list will go on and on and on and on…
nataka tuwe zaidi ya wapenzi, wengi wa siku hizi
who always take love for granted
nataka tupiganie penzi, kama zile enzi
when your first love is your last
chorus:
so let’s push it (pigania penzi, pigania)
let’s push it (pigania penzi, pigania)
oh baby let’s push it (pigania penzi, pigania)
in the name of love, (let’s push it)
hope is what is what we hold on to
let’s push it (pigania penzi, pigania)
let’s push it (pigania penzi, pigania)
oh baby let’s push it (pigania penzi, pigania)
in the name of love, (let’s push it)
hope is what is what we hold on to
verse 2:
all night we been yelling, its time now – let’s just stop this
nnachopata kwako sipati kwingine, na kama masai we yangu sime
so nitazame machoni, tell me what you see
na unacho feel moyoni, pia unachofikiri
if you feel kuwa nami, its everything we need
we keep on trying and trying and trying and trying
nataka tuwe zaidi ya wapenzi, wengi wa siku hizi
who always take love for granted
nataka tupiganie penzi, kama zile enzi
when your first love is your last
chorus:
so let’s push it (pigania penzi, pigania)
let’s push it (pigania penzi, pigania)
oh baby let’s push it (pigania penzi, pigania)
in the name of love, (let’s push it)
hope is what is what we hold on to
let’s push it (pigania penzi, pigania)
let’s push it (pigania penzi, pigania)
oh baby let’s push it (pigania penzi, pigania)
in the name of love, (let’s push it)
hope is what is what we hold on to
joh makini:
let’s push it, eh!
ma tusipoteze nafasi, mbele tukizigonga pasi
chonjo mana wana jealousy, we ndo shughuli yangu binafsi
mi nna plani zangu binafsi, mwenye kunituliza nafsi
we ndo plani a, b na c, nakulinda ndoa sio kitu rahisi
dhambi zisiambatane nasi, mashetani wakome nasi
kama penzi kiti cha basi, basi ma tusishuke basi
vuta kiti tugonge glasi, vuta kitu tukonge nafsi
mapenzi matamu nanasi, na si tupendane kwa dhati
chorus:
push it (pigania penzi, pigania)
let’s push it (pigania penzi, pigania)
oh baby let’s push it (pigania penzi, pigania)
in the name of love, (let’s push it)
hope is what is what we hold on to
let’s push it (pigania penzi, pigania)
let’s push it (pigania penzi, pigania)
oh baby let’s push it (pigania penzi, pigania)
in the name of love, (let’s push it)
hope is what is what we hold on to
outro:
otuck: let’s push it…
joh makini: let’s push it…
otuck: push it…
joh makini: let’s push it…
otuck: push it, in the name of love hope is what we hold on to
Random Lyrics
- sky santana - dinner lyrics
- olson majerus - hurt none lyrics
- the animal in me - actions lyrics
- deenyo - open letter lyrics
- leidi - let you down easy lyrics
- bosca - traumhaftes leben lyrics
- cyrielle - c'est notre histoire lyrics
- coolguy89 - phasethru lyrics
- goldfish - little lies lyrics
- wolf & moon - part of me (bonus track) lyrics