azlyrics.biz
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

otile brown – dejavu lyrics

Loading...

hichoo kioo haukiitaji… na hizo make up sio lazima…
unachovaa haijalishi
machoni mw-ngu umekamilka
nakupenda sina mfano
zaidi ya hizo nguo uvaazo
vipodozi na manukato
nyele na hata pia rangi yako
nacho hitaji penzi lako na nimeridhika…
na hao wapinzani wako hawana hathari yoyote
oh usikose usingizi
niamini nikisema nakesha kazini
fikra zako zisiende mbali niko jembe mwenzio
pre-chorus
maana wewe ni yule yule yuuule… nisipokuona naugua
nakupenda vile vile viiiile… penzi langu halij-pungua

bado nikikuona na hisi dejavu
roho unairusha juu juu
oh magoti yanaisha nguvu
oh b–boo i love you
na asili yako siwezi kuieleza mi nimeona wengi ila hamfanani
wewe hauku umbwa ulitengenezwa kwako natua nikafanya makazi
na kando yako bado naji hisi
najivuniaa
na mwengine mimi sitaki wala sijawai fikiria
na ndani ya hilo rinda umependeza
ukipita shingo wana pinda
ila hii ngoma naijua bora
sababu ilonifanya natia fora
pre-chorus
mana wewe yule yule yuuuuule nisiokuona naugua
nakupenda vile vile viiiiile penzi langu halij-pungua

“nyele na hata pia rangi yako— otile brown

nakupenda sina mfano
zaidi ya hizo nguo uvaazo
vipodozi na manukato
nyele na hata pia rangi yako
nacho hitaji penzi lako na nimeridhika
na hapaja haribika jambo
leo hii kama zamani
uzee hauja kukithiri



Random Lyrics

HOT LYRICS

Loading...