p-funk majani - champion lyrics
[intro]
yeah, yeah, yeah, yeah
[chorus]
ooh, yes i’m a champion
magoli nikitupia ni ushindi
ndoto ikitimia ni ushindi
(yes, i’m a champion)
malengo yakitimia ni ushindi
shuleni nikitusua…
(ooh, yes i’m a champion)
champion
champion
champion
(yes, i’m a champion)
yeah
champion, yeah
njombe town finest, yeah
champion
[verse 1]
hakuna kukata tamaa
hataka ulishandana, ukashindwa
we ni champion na umeumbwa kushinda
usipagawe, ukipingwa
piga moyo konde ile kibingwa
mungu na malaika wanakulinda
unapo kataliwa, haimaanishi kwamba hauna thamani
sema hawajaiona, ‘songa kwa imani
unamwona majani?
ni legendary toka zamani
ka songa na hii fani, na bongo records kwenye ramani
hustling toka way back
hakuna refa wakunibeba
hakuna demu wa kunitega
ushindi sio ki+popere+pampa
sisimami hata nione zebra
hii ni conscious kwa madogo mpaka brothers wenyewe
ukiona mishe haziendi, unasimama unakwenda mwenyеwe
mi na shida ziko nyingi mara k+mi ya wewe
mpaka naona atlеast ningeumbwa demu niolewe
utajaza mwenyewe, ‘a ama b, ‘b ama a
shida nnazopita mngekuwa nyie mngesha run away
ila napambania kombe everyday
kwa kuwa nataka ushindi
(ooh, yes i’m a champion)
napambana anyway
[chorus]
magoli nikitupia ni ushindi
ndoto ikitimia ni ushindi
(yes, i’m a champion)
malengo yakitimia ni ushindi
shuleni nikitusua…
(ooh, yes i’m a champion)
champion
champion
champion
(yes, i’m a champion)
champion, yeah
can you feel that?
champion
yeah
[verse 2]
the bad news is, ‘we all born+sinners
habari nzuri ni kwamba, ‘we all born+winners
your time is now, ‘be a man, john cena
you up on the top, acha wakujue jina
[?]
let it bounce ‘see the fire
wanyama wapo wengi, you the winner, ‘be the lion
dhahabu hauwezi ng’aa mpaka wachome moto
never lose hope kamwe usihofie msoto
hustle don’t sleep, weh mpaka uone ndoto
shine bright like a diamond
u+pose upigwe na photo, don’t panic
ule ngada, uwe drug addict
na mi siamini kutoboa mpaka black magic
tryna imagine vipi itakuwa, ‘they tryna predict
taji kichwani kwako ‘umeshinda, we give you credit
usimame imara, uwezo mwingi, akili kubwa, and’
you be flyin in the sky kama superman
w+nga nao wengi mwanangu utapigwa ndumba, man
ukishindana, utashinda, ’cause you the man
my only wish ‘to the star, is to became one
but i’m not ready losing myself just to be someone
na nikifa before i get my sh+t done
sitalalamika
(ooh, yes i’m a champion)
i got respect for the god’s plan
[chorus]
magoli nikitupia ni ushindi
ndoto ikitimia ni ushindi
(yes, i’m a champion)
malengo yakitimia ni ushindi
shuleni nikitusua…
(ooh, yes i’m a champion)
champion
champion
champion
(yes, i’m a champion)
champion, yeah
champion
(ooh, yes, i’m a champion)
[outro]
(yes, i’m a champion)
ooh, yes, i’m a champion
champion
champion
champion
yes, i’m a champion
champion, yeah
champion
Random Lyrics
- blackpink - blλɔkpiиk : lyrics
- john trevor - shadows of the moon lyrics
- donavns - act dumb lyrics
- ankharov - сайынны vibe 22/23 lyrics
- masc music - smokestack lyrics
- thexking - ❣️ cheating on you ❣️ lyrics
- vulgo fk - 2024 lyrics
- fleurnothappy - kkey lyrics
- hadassah vincent barucabamusic global network - jesus the glory of the lord lyrics
- neevah - escape escape lyrics