p-funk majani - mapenzi shikamoo lyrics
(instrumentals)
[chorus]
mapenzi shikamoo
yamenifika roho
mahaba shikamoo
yamenikuta oh
yangenitoa roho
[verse 1]
hakuna mtu ambaye yuko serious nowaday
snapchat na insta’ vimefanya mambo yako fake
anakupenda, anakuacha, anakubwaga
vyote one day
so, no love
just one night’ stand from today
ah
[verse 2]
kazi ‘mtu anakulana, ‘na
kazini wanatekenyana, eh
ukikosa roho
mbona utapigana
mapenzi, mapenzi nini
mbona yananifanya
heh
[chorus]
mapenzi shikamoo
yamenifika roho
mahaba shikamoo
yamenikuta oh
yangenitoa roho
[bridge]
mapenzi, mapenzi, mapenzi ‘penzi
(hey)
mapenzi, mapenzi, mapenzi ‘penzi
(mapenzi)
mapenzi, mapenzi, mapenzi, ‘penzi (hey, hey)
mapenzi, mapenzi, mapenzi, ‘penzi
(hiki kitu mapenzi)
[verse 3]
kama penzi ni umeme
kw+ngu luku ishakata
siwezi masebene na maisha ya utata
nikipenda, napenda kweli
nikiumizwa, mi nadata
bora nikae pembeni
nile vitu fasta, fasta
nini umetaka, sikupi
mpaka insta nakuposti
mbona unanichoma mkuki, ih
(mapenzi shikamoo)
kwa utosi
[post+chorus]
yamenifika roho
mahaba shikamoo
yamenikuta oh
yangenitoa roho
[hook]
mapenzi, mapenzi, mapenzi ‘penzi
(hey)
mapenzi, mapenzi, mapenzi ‘penzi
(mapenzi)
mapenzi, mapenzi, mapenzi, ‘penzi (hey, hey)
mapenzi, mapenzi, mapenzi, ‘penzi
(hiki kitu mapenzi)
(instrumentals)
Random Lyrics
- lv - лунное диско [lunnoye disco] lyrics
- maruyama yuki - at least lyrics
- ghostlyphone - слезы марципана lyrics
- high girlfriend - infinite love lyrics
- elo s. - searching lyrics
- nest of plagues - supreme lyrics
- christina christ - christcoin lyrics
- slimegetem - switch your shit 2 lyrics
- love kalmar - breaking through the faze lyrics
- astral drive - take back the world lyrics