azlyrics.biz
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

p-funk majani - napenda money lyrics

Loading...

[intro]
wooh!
gachi b

[verse 1]
sikuhizi ukini+search
vibunda hukosi
ooh, nimekuwa mnyama, nimekuwa mkosi
chapati nyingi haikai kwenye pochi
ooh, ooh, mullah, pesa, high speed, chasers
naipenda michezo ya pesa
jasho na damu kwa ajili ya pesa
acheni [?]
kwanza nachochea moto sipunguzi speed
got em b+tches goin crazy, utadhani gigy (gigy money)
pesa ndio sabuni ya ku+jiggy, jiggy
sikia, ‘waambie wenzako sisi huko tumeshavuka
pande za mjengo kimeshanuka
mpaka mapopo wamesanuka
nyama ni nyingi kuliko butcher (butcher)
nikieka vitu nafanya watoto wanang’ata kucha
kipindi naomba hadi cha ukucha

[pre+chorus]
nampenda, penda nani?
pesa
kademu flani
pesa
ukiwa ndani, nnachotaka kusikia ni story tu za pesa
kama nilizaliwa kwenye pesa
maana nanukia tu pesa, pesa
siwezi kuongea kama story unazozileta hazizungumzi pesa
[chorus]
[drop]

[verse 2]
gucci, prada, louis (louis vuitton)
usiombe utete na mimi, utajua hujui
(utajua, hujui)
[?] sindano [?] chanjo nikuongeze ndui (skrrt, skrrrt)
no, son, ‘usikae meza moja na adui
paka na chui (never)
kabati ndogo [?] nyingi chezea pesa (chezea pesa)
si hatuwezagi kulala, ‘so tunakesha
vitu ni vingi, so tunashesha
mvua ni chache, ‘so tunanyesha
kaficha jamvi matokeo yake kachana mkeka
(yih!)
h+llo girl, h+llo darling (h+llo darling)
muonekano wako unavyoonesha ni wa bei ya ghali (bei ya ghali)
kuwa na mimi nitakupa nyumba, nitakupa gari
(skrrt, skrrrt, skrrrt)
nitakupa na moyo hata usijali

[pre+chorus]
nampenda, penda nani?
pesa
kademu flani
pesa
ukiwa ndani, nnachotaka kusikia ni story tu za pesa
kama nilizaliwa kwenye pesa
maana nanukia tu pesa, pesa
siwezi kuongea kama story unazozileta hazizungumzi pesa
[chorus]
[drop]



Random Lyrics

HOT LYRICS

Loading...