![azlyrics.biz](https://azlyrics.biz/assets/logo.png)
p-funk majani - vile nataka demu lyrics
[intro]
unataka demu
je, unataka aweje, aweje?
hata mkienda out, je atoke, atokeje
marashi itakuwaje?
atanukiaje?
na mkienda club, atokeje?
kama unataka demu
je, unataka aweje, aweje?
hata mkienda out, je atoke, atokeje
marashi itakuwaje?
anukiaje?
na mkienda club, je, atokeje?
gachi b
[chorus]
kama unataka demu
je, unataka aweje, aweje?
hata mkienda out, je atoke, atokeje?
marashi itakuwaje?
anukiaje?
na mkienda club
(?)
si wanapenda ku+bang?
je, atokeje?
[verse 1]
moja ? mia, shingo ngamia
awe na guu la bia, mbongo muitalia
awe pisi kali, fundi kitandani
nimpeleke nyumbani, si ndo ajulikane?
(k+manisha nini?)
hatutoachana, tukihama
afe nife, si ndo kuzikana?
ashike usukani, atulie nyumbani
ila asijulikane, yaani tuzaliane
kifuani sio bembea
konzi yaani dede
catwalk akitembea
ndani ikikolea
nyuma afungashe mbolea
vi macho ka m+korea
duh, kamebobea
posa nitakatolea
[chorus]
kama unataka demu
je, unataka aweje, aweje?
hata ukienda out, je atoke, atokeje?
marashi itakuwaje?
anukiaje?
na mkienda club, ‘je, atokeje?
je, unataka aweje, aweje?
je, atoke, atokeje?
anukiaje?
uh
je, atokeje?
yo, atatoa dona ama sembe
mtamu ka mtende
wema ni mtendee
hata nyumba nimjengee
akiongea ana kithembe
aki (?) dende (yow)
popote twende (yow)
asiote mapembe tu
kunyumbulika ka jongoo
kiuno ka mkongo
yai, kimombo
vi tattoo kwa mgongo
tuwe wali na ndondo
sikinde na msondo
radi na konde
isiwe fifa na ndondo
kifuani sio bembea
konzi yaani dede
catwalk akitembea
ndani ikikolea
nyuma afungashe mbolea
vi macho ka m+korea
duh, kamebobea
posa nitakatolea
[chorus]
kama unataka demu
je, unataka aweje, aweje?
hata mkienda out, je atoke, atokeje?
marashi itakuwaje?
anukiaje?
na mkienda club, ‘je, atokeje?
je, unataka aweje, aweje?
je, atoke, atokeje?
anukiaje?
je, atokeje?
Random Lyrics
- why@doll - ラブ・ストーリーは週末に (love story wa shuumatsu ni) - 2019 mix lyrics
- louky - -1 (interlude) (original version) lyrics
- the inmates of no. 12 - my kind of luck - john street lyrics
- don shakur mw - a song about moms lyrics
- malacath - cult of the winter winds lyrics
- paloalto (팔로알토) - 마음 (the mind) lyrics
- klemens nikulásson hannigan - step by step lyrics
- dq lewis - welcome to the bronx lyrics
- fattmack - shit change lyrics
- 1kkura - lust lyrics