p mawenge - nionjeshe lyrics
[intro]
kc records
yeah
muziki ya mawenge aaah..
sound ya wakubwa eeh… ndio
[verse 1]
mi natambua we kifaa, ka’ mw+nga wa jua unavyong’aa
mabishoo unawasumbua kila mitaa
kwenu washaleta hadi barua ukawakataa
na walipofeli kukuchukua wakatambaa
sasa rumors, zipo kila sehem
watu wanatangaza kuwa una matatizo kwenye game
eti kitu kipo haaa sio tena the same
na ndomana kuwavulia masela unafeel shame
sa juzi ju’zi ukadai unanizimia
kwa hilo shepu lako siwezi kukukazia
lakini kwanza nipe nafas kuchungulia
ili yasiwe ya mbuzi kwenye gunia
[chorus:]
ukitaka gari nyumba fresh
na mavumba cash
ndani ntakutunza best
uwe mchumba….
lakini kwanza nionjeshe (nionje)
nionjeshe (ni test)
kwanza nionjeshe (nionje)
nionjeshe ( ni test)
lakini kwanza nionjeshe (nionje)
nionjeshe (ni test)
kwanza nionjeshe (nionje)
nionjeshe ( ni test)
[verse 2:]
si unajua vitu vya hamu, huwaga lazima viwe vitamu
ikibidi nijirambe vidole tu kila time
ni enjoy, nile nikiwa natanasamu
so sitaki kuva’gaa, lazima nifahamu
mtoto wa mwenzio bado kijana
staki pupa, mbio mbio sio salama
madem mbona wapo kibao wamejazana
staki nile vibovu mama
umeshanambia unanizimia
na mimi mbona nimeshakukubalia
lakini kwanza nataka kuchungulia
sitaki ya mbuzi kwenye gunia
[chorus:]
ukitaka gari nyumba fresh
na mavumba cash
ndani ntakutunza best
uwe mchumba….
lakini kwanza nionjeshe (nionje)
nionjeshe (ni test)
kwanza nionjeshe (nionje)
nionjeshe ( ni test)
lakini kwanza nionjeshe (nionje)
nionjeshe (ni test)
kwanza nionjeshe (nionje)
nionjeshe ( ni test)
Random Lyrics
- 96猫 (96neko) - dreamer lyrics
- chris webby - superstar lyrics
- the cavves - holy water lyrics
- offandriola - destaque (feat. jeff kelloway) lyrics
- bankroll freddie - patience lyrics
- superblush - wind and rain lyrics
- trill pem feat. young jacob & hut - blok lyrics
- abrhm - itaas lyrics
- shaksia - améthyste lyrics
- nordsalad - футуристик (futuristic) lyrics