panishit - maradhi lyrics
intro
ukanda wa gaza..g g g..gaza gang panish-t,noiz mekah,def
verse 1
pumzi ndogo msoto nahema kwa mdomo
nkienda pole ntachechema ndoto, mapema kikomo
natema kisomo, pata darasa naasa hasa
sio kila unapopita ni njia la hasha hasa
kwa wale wapenda anasa, mishale ya kutenda sasa
imetanda mikasa, mlango umegoma vunja kitasa
life iz too short gun usbonyeze trigger rap ni skul
not fun uspenyeze mbwiga,mdomoni mmjaa peche
shuguli nahau tete,na ukipendwa ukashusha kufili sahau pete
mwisho wa mapenzi kibuti nh bora nibaki mpweke
ni bora ninyuti mnanichora nkikosea mcheke
usijisifu star,salio kupata ni mwisho reli
mmesahau mitaa wengi mmedata mnavuta sheli
chali,ndani ya noizmekah mtafyata mtapata ukweli
nani kahawa nani kashata kashafeli
kati ya hawa nani kapata kitapeli
funzo hili kwa jamii,potosha kwa tuzo feki
tuzo kili wasanii ispotosha na nguzo break
usguse nyaya,mwaya ulekwepa mafunzo tech
uspuuze yaya,vibaya akisepa utasuuza nepi
rapa feki,heri ya kuzaliwa kata keki
chini umekaliwa panda jeki
sihofii anaevuma,mi sio pumba spepeteki
chorus
nawapa maradhi,mavazi wanajitapa
na kapa malazi,tafta makazi na kazi chapa
naapa kwa radhi mashauzi makuzi rappa
na wapa maujuz fata maamuzi wapuuzi chapwa
verse 2
mengi mazuri kw-ngu,co mabaya kwako
nashangaa mbona unauchuna nkipata uguna unabwata
utuna unasunya,unanuna nkikata bata
vita bila ya kwata ni utata subiri fasta
nawapita bla matata mtafata naubiri pasta
yapasa k-mjua adui zaidi ya unavomjua rafiki
na pesa hua haisumbui hadi unapokua na dhiki
mganga najiganga kwa kuganga yajayo
meli haiezi tanga tanga akati nanga ninayo
nihayo,kazi usipopanga utachanga miayo
ustadhat usivue ijabu kwa k-mtega mpenda nywele
nyuma sij-pita kwa tabu sioni ajabu kwenda mbele
leta mchongo toka arusha narusha mpaka mambele
weka gongo mi sio busa naangusha mpaka masele
tik tak za rap, spigi huku nimevaa taulo
street rapper narap,spid na sijavaa taulo
chorus
nawapa maradhi,mavazi wanajitapa
na kapa malazi,tafta makazi na kazi chapa
naapa kwa radhi mashauzi makuzi rappa
na wapa maujuz fata maamuzi wapuuzi chapwa
verse 3
mi sio ganja planta braza me ni planta wa rym
ukanda wa gaza siitupi danta na ntapata wallah
maisha yakinkunjia ngumi,mi nayakunjia sura
yakinishushia uchumi,mi nayapunjia kura
sikosi mdosi bitozi usiforce kuskia paa iz
machozi pozi na njozi mkombozi narealize
navutia fans,kabla ya kupika natia n-z-
mkiachia ngazi,kabla ya kufika naachia barz
shaz wasuka mabutu skuiz wanajiita rasta
nakua kifutu pale mjusi unapojiona masta
huu sio muda wa vichuguu kua milima au sio budda
u sio ukuda wa vitukuu,skia la mkuu smama wima
def nipe kick niwakate x
usnipe stick nipe biki niwachape fakes
ili wapate race
chorus
nawapa maradhi,mavazi wanajitapa
na kapa malazi,tafta makazi na kazi chapa
naapa kwa radhi mashauzi makuzi rappa
na wapa maujuz fata maamuzi wapuuzi chapwa
outro
maradhi..snitchez,haters,fakers.na wote wasopenda haki..hip hop..a townn
Random Lyrics
- jul - posé à la place 2 lyrics
- double r (dseize & statiix) - animalis lyrics
- sean price - get it together lyrics
- niko is - the raw lyrics
- bas - mook in new mexico lyrics
- young scooter - diamonds and money (remix) lyrics
- jay rock - intro (follow me home) lyrics
- mr. sando - mssate b3a9lo lyrics
- french montana - make money lyrics
- corey laury - giving lyrics