pastor abiudi misholi - mawazo ya mungu lyrics
{mawazo ya mungu ni tofauti kabisa na mawazo ya wanadamu
na mwanadamu anavyokuwazia
tofauti kabisa na mungu anavyokuwazia
amenik-mbuka mungu, shetani hanipati tena fatana nami}
waliponitazama sina elimu ya kutosha
wakasema atakoma eti maisha yataniharibu
nani ataniajiri sina elimu ya kutosha wakasema atakoma eti jiji nitalitambua
{wanadamu wana maneno mengi sana ya kukatisha tamaa
lakini maneno ya mungu ni ya baraka haleluya}
yesu akawasikia
akasema abiudi
abiudi mwanangu njoo kw-ngu mi nikuajiri
nenda kawe mchungaji
huuuku ukiniimbia
usijari maisha mshahara nitakulipa mimi
{nilipoanza uchungaji wengi walicheka wakasema ndo sasa anaenda kuharibika kabisa, lakini mungu alivonibariki tofauti kabisa na mawazo yao}
[ameniajiri mungu ×3] mshahara nalipwa na yeye
ameniajiri yesu
ameniajiri mungu
ameniajiri mimi mshahara nalipwa na yeye
{leo hii katika wimbo huu, mungu anaenda kukuk-mbuka, mungu anaenda kukuvusha hapo ulipo na woote wanaokudharau wataaibika}
amenik-mbuka mungu haleluya amenik-mbuka mungu
amenik-mbuka mungu
shetani hanipati tena
amenik-mbuka (amee), amenik-mbuka (amee)
amenik-mbuka
shetani hanipati tena
amenik-mbuka (bye bye×2)
amenik-mbuka (bye bye shetani)
amenik-mbuka (bye bye)
shetani hanipati tena
amenik-mbuka (umasikini)
amenik-mbuka (bye bye tabu)
amenik-mbuka (bye bye mateso)
shetani hanipati tena
kama wapo wanaodhani ipo siku nitashindwa ilo wazo na wafute
shetani hanipati tena.
kama wapo wanaoroga ipo siku mi nishindwe
izo dawa wakatupe shetani hanipati tena.
amenik-mbuka (bye bye×2)
amenik-mbuka (bye bye shetani)
amenik-mbuka (bye bye)
shetani hanipati tena
amenik-mbuka (umasikini)
amenik-mbuka (bye bye tabu)
amenik-mbuka (bye bye mateso)
shetani hanipati tena
amenibariki mungu
amenifuta machozi
ameondoa aibu
shetani hanipati tena
kama wapo wanaowaza ipo siku nitashindwa
ilo wazo na wafute
shetani hanipati tena
amenik-mbuka (bye bye×2)
amenik-mbuka (bye bye shetani)
amenik-mbuka (bye bye)
shetani hanipati tena
amenik-mbuka (umasikini)
amenik-mbuka (bye bye tabu)
amenik-mbuka yesu (bye bye mateso)
shetani hanipati tena
amekubariki yesu
amekubariki mungu
shetani hakupati tena
imani umeilinda
tuige mfano wako
amekubariki mungu
shetani hakupati tena
amenik-mbuka (bye bye×2)
amenik-mbuka (bye bye shetani)
amenik-mbuka (bye bye)
shetani hanipati tena
amenik-mbuka (umasikini)
amenik-mbuka (bye bye tabu)
amenik-mbuka (bye bye mateso)
shetani hanipati tena
amekubariki yesu
amekubariki mno
shetani hakupati tena
. ndani yake
amekubariki yesu
shetani hakupati tena
amenik-mbuka (bye bye×2)
amenik-mbuka (bye bye shetani)
amenik-mbuka (bye bye)
shetani hanipati tena
amenik-mbuka (umasikini)
amenik-mbuka (bye bye tabu)
amenik-mbuka (bye bye mateso)
shetani hanipati tena
amekubariki mungu
mwinjilisti we
amekubariki mungu
shetani hakupati tena
kama gari unalo na vyombo unavyo
sasa unataka nini
nenda kahubiri injili
amenik-mbuka (bye bye×2)
amenik-mbuka (bye bye shetani)
amenik-mbuka (bye bye)
shetani hanipati tena
amenik-mbuka (umasikini)
amenik-mbuka (bye bye tabu)
amenik-mbuka (bye bye mateso)
shetani hanipati tena
psalms 9: 19
. . . #rdol
《♡abiudi misholi♡》
Random Lyrics
- shirley carvalhaes - crente não acha, tem certeza lyrics
- stefan cvetković - kad bi mogla da me volis lyrics
- sadek feat. ronegga - piña colada (feat. ronegga) lyrics
- lim - on vit comme des bandits lyrics
- alex schulz & kiso feat. kayla diamond - middle lyrics
- abu jibran - psychonation lyrics
- joey bada$ & jim jones - lost ones lyrics
- fetty wap & pnb rock - addicted lyrics
- mc richix - te quiero agradecer lyrics
- σκηνοθέτης - τα λέμε, γεια (feat. έκπτωτος άγιος) lyrics