pastor anthony musembi - nakuabudu na angalia lyrics
baaaba mimi ninakuabudu.
mbele zako ninainama mimi ninakuabudu.
mikono yangu ninainua .mimi ninakuabudu sema baaba.(baaaba mimi ninakuabudu)
mungu wa milele(baaba mimi ninakuabudu)
uniongoze baaba(mbele zako ninainama. mimi ninakuabudu. mikono yangu ninainua mimi ninakuabudu)seema baaba
baaba mimi ninakuabudu mbele zako ninainama mimi ninakuabudu.mikono yangu ninainua mimi nina kuabudu.
jehova shalom.
baaba mimi ninakuabudu.uabudiwe baba.
baaba mimi ninakuabudu
baaba mimi ninakuabudu
mbele zako ninainama. yahwemimi nina kuabudu.
mikono ninainua mimi nina kuabudu.seema baaaba.(baaaba) mungu w-ngu. mimi ninakuabudu.
tunakuabudu baaba.mbele zako ninainama mimi nina kuabudu mikono yangu ninainua mimi nina kuabudu .
seeema baaaba. baaba mimi nina kuabudu.
unastahili baba.baaba mimi nina kuabudu mbele zako ninainama mimi nina kuabudu.
mikono yangu ninainua mimi nina kuabudu.
sisi wana wako tumekusanyika aaangalia.(aangalia baba)
sisi wana wako tumekusanyika utuangalie yahweh aangalia baba
atawakenya tunakutizama utuangalie baba aangalia baaba.
na kanisa lako linakusubiri uliangalie yahweh aangalia baaba
na taifa lote linakuabudu uangalie baba .
walio na njaa wanakulilia uwaangalie baaba . sema angalia baba (angalia baba) aangalia baba .
angalia baba
sema angalia yahweh. angalia baba.
oooh aangalia baba(angalia baba)
oh angalia jehova oh angalia baba
aaangalia yahweh
tunangoja aangalia baba
oh aangalia yahweh
na kanisa lako linajusubiri uliangalie yahweh . angalia baba
na taifa lote linakutizama utuangalie baba
wasio na kazi wanakungojea uwaangalie baba
angalia baba
hata watasa wanakw-ngalia uangalie yahweh.
sema aangalia baba
angalia jehova
oh angalia baba kwa huruma angalia baba. kwa uwezo angalia baba
oh angalia baba
Random Lyrics
- 小椋佳 - 想い出して下さい lyrics
- sneazzy - wooh ! lyrics
- teerage feat. square pass - finest dada lyrics
- adriana feat. jdm & dr lópez - vamos a bailar reggaeton lyrics
- steps - scared of the dark lyrics
- heather jacobson - by your side lyrics
- q´eromarka - tiempo de amar lyrics
- 黒うさp - 上弦の月 feat.いかさん(カバー) lyrics
- sophia - nothing lyrics
- cumbia e tu madre - cumbia de angelmo lyrics