patrickmp - christmas be happy lyrics
christmas
be happy
tunashukuru kweli kwamwanye mungu. ametulinda mwaka mzima siku zote. ametulinda. tunabidi tushukuru mwenyezi mungu. nguuuuuu
christmas. christmas. eeh tuimbe sote christmas .mwaka mupya
christmas oh tuimbe sote christmas christmas tufurahi christmas tujojoy eeh mwakampya
yesu amezaliwa. tufurahi sisisote amezaliwa mwana wa mungu christmas ++++tufurahi tujijoy tufurahi yii!
for everything
.tushukuru mwenyezimungu. kwayote anayo tulinda dariki ya .kwanza mwewzi wa kwanza anatulinda asubuyi na muchan .anaendeleya kuwa nasi tunajuwa ni mengi ambayo yanapita katika .dunia leo ni mwaka. mwaka tunaivuka. leo nimwaka mwaka .tunairuka
.christmas. oh christmas. tuimbe sote christmas oh christmas .tufurahi christmas oh christmas oh mwaka mpya
.christmas oh christmas
.amezaliwa yesu mwana wa mungu
.patrick emmanuelmp
Random Lyrics
- the system - midnight special lyrics
- words like wildfire - the rain lyrics
- meiitod - tes yeux lyrics
- la tétrada - uroboros lyrics
- the slow readers club - all i hear lyrics
- yashy!✧ - no! no! no! no! lyrics
- greysin - alright lyrics
- arghen prj - 3:23 am lyrics
- bero bass - schlangen lyrics
- fyb j mane - back from the dead lyrics