paul clement - amen lyrics
[shairi]
najua nabii wa kwanza ni wewe
mwenyewe juu ya maisha yako
ila leo nataka niseme neno
juu yako na itakuwa hivyo
[kwaya]
mungu akulinde na akuhifadhi
amen, na iwe hivyo
akubariki mjini pia na shambani
amen, na iwe hivyo
akupe neema nyingi kwenye maisha haya
amen, na iwe hivyo
mungu akupe uzao kama nyota za mbinguni
amen, na iwe hivyo
usipungukiwe maji wala chakula nyumbani
amen, na iwe hivyo
akubariki nyumbani pia na kazini
amen, na iwe hivyo
[baada ya kwaya]
amen, amen
amen, amen
amen, amen
amen, amen
amen, amen
amen, amen
amen, amen
amen, amen
[shairi]
najua nabii wa kwanza ni wewe
mwenyewe juu ya maisha yako
ila leo nataka niseme neno
juu yako na itakuwa hivyo
[kwaya]
mungu abariki kazi za mikono yako
kila ukanyagapo patakuwa pakwako
utakuwa wa kwanza na sio wa mwisho
amen, na iwe hivyo
kwako kakutakuwa tasa wala mwenye kuharibu mimba
amen, na iwe hivyo
wewe hutakufa bali utaishi
amen, na iwe hivyo ([?])
bonde la mauti halita kuua wewe
amen, na iwe hivyo
hakuna silaha itakuwa kinyume na wewe
amen, na iwe hivyo
umande wa mbinguni ukustawishe wewe
amen (amen), na iwe hivyo (amen)
[baada ya kwaya]
amen, amen
amen, amen
amen, amen
amen, amen
amen, amen
amen, amen
amen, amen
amen, amen
amen, amen
amen, amen
amen, amen
amen, amen
amen, amen
amen, amen
amen, amen
amen, amen
[shairi]
najua nabii wa kwanza ni wewe
mwenyewe juu ya maisha yako
ila leo nataka niseme neno
juu yako na itakuwa hivyo
[nje]
mungu akulinde
Random Lyrics
- kicksie - jaws lyrics
- melendi - la religión de los idiotas (directo a septiembre) lyrics
- the irish rovers - home to bantry bay lyrics
- david0mario - staying with our lights blind lyrics
- maurice smooth - y u staring lyrics
- utveggi - potosì lyrics
- stone leaders - gravity lyrics
- tsunami j - rare lyrics
- louie ray - nov 28 lyrics
- error101 & 45hre - walk like this lyrics