paul clement - umezungushwa na sifa lyrics
mungu umezungukwa na sifa
duniani na mbinguni
mungu umezungukwa na sifa
duniani na mbinguni
duniani twakusifu
na mbinguni twakusifu
mungu umezungukwa na sifa
duniani twakusifu
na mbinguni twakusifu
mungu umezungukwa na sifa
hallelujah hallelujah
umezungukwa na sifa
hallelujah hallelujah
umezungukwa na sifa
mungu umezungukwa na sifa
duniani na mbinguni
mungu umezungukwa na sifa
duniani na mbinguni
mungu umezungukwa na sifa
duniani na mbinguni
mungu umezungukwa na sifa
duniani na mbinguni
duniani twakusifu
na mbinguni twakusifu
mungu umezungukwa na sifa
duniani twakusifu
na mbinguni twakusifu
mungu umezungukwa na sifa
hallelujah hallelujah
umezungukwa na sifa
hallelujah hallelujah
umezungukwa na sifa
hallelujah hallelujah
umezungukwa na sifa
hallelujah hallelujah
umezungukwa na sifa
wenye uhai wanne
wamekuzunguka pande zote
wakisema mtakatifu ni wewe
wakipanga sauti zao
kwa nguvu bila kuchoka
wakisema mtakatifu ni wewe
ni wewe, ni wewe
ni wewe, ni wewe
ni wewe, ni wewe
ni wewe, ni wewe
ni wewe, ni wewe (wakuabudiwa)
ni wewe, ni wewe (wa kupewa sifa)
ni wewe, ni wewe (eeeh)
ni wewe, ni wewe (ni wewe bwana mengi yako)
ni wewe, ni wewe (mungu wa miungu bwana)
ni wewe, ni wewe (bwana wa mabwana)
ni wewe, ni wewe (mfalme wa wafalme)
ni wewe, ni wewe (nani mwingine kama wewe bwana)
ni wewe, ni wewe (wa kupewa sifa bwana)
ni wewe, ni wewe (wewe ni mungu mwenye nguvu bwana)
ni wewe, ni wewe
ni wewe, ni wewe
ni wewe, ni wewe
ni wewe, ni wewe
Random Lyrics
- the orphan the poet - summer daze lyrics
- ofb - off your melon lyrics
- abiee - grind and shine lyrics
- being independent - mehanat lyrics
- smith, lyle & moore - fate lyrics
- selena gomez - we own the night (demo) lyrics
- ice blue-music - schon bald lyrics
- no joy - dream rats lyrics
- cromo 44 - sol lyrics
- sixty miles ahead - every time i try lyrics