azlyrics.biz
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

petronilla ayuma - mama lyrics

Loading...

intro
the spirit of a mother never dies

verse 1
uliyalea maisha yangu
upendo wako kw+ngu ulikuwa mkuu
milele daima ulikuwa kw+ngu
hata kama uliondoka haraka
mkono wako ulinifuta machozi
mdomo wako uliniimbia wimbo
ulinituliza kifuani pako
nikalala mikononi mwako ooh mamaaa

chorus
malkia w+ngu dunia yote hakuna kama wewe x2
ulinganishwe na naniii
malkia w+ngu dunia yote hakuna kama wewe
ufananishwe na naniii
malkia w+ngu dunia yote hakuna kama wewe

verse 2
mbingu zilipo nigeukia kijivu
wakati mwingi nilikuwa taabani
ulikuwapo daima kunifariji mimi mama aaah
ulinifunza like kitu nikajua
nami nikaweka salama ndani yangu
upendo wako kw+ngu ulikuwa kama miyale ya nyota aah
kuniangazia dunia yangu vikali mimi mama aah
asante malkia w+ngu dunia yote

chorus
mamaa mamaa
malkia w+ngu dunia yote hakuna kama wewe x2
ulinganishwe na naniii
malkia w+ngu dunia yote hakuna kama wewe
ufananishwe na naniii
malkia w+ngu dunia yote hakuna kama wewe

bridge
mamaaa mamaaa
malkia w+ngu dunia yote hakuna kama wewe
nimetafuta kila mahali nimetafuta dunia yote
malkia w+ngu dunia yote hakuna kama wewe…
kwenye vikundi vya wa mama
sijaona wakulinganishwa..
malkia w+ngu dunia yote hakuna kama wewe…
mwenye mausia bora
mwenye uelekezi bora..
malkia w+ngu dunia yote hakuna kama wewe…
mwenye ushawishi bora
mwenye mwenye uongozi bora
malkia w+ngu dunia yote hakuna kama wewe…

chorus
mamaa mamaa
malkia w+ngu dunia yote hakuna kama wewe x2
ulinganishwe na naniii
malkia w+ngu dunia yote hakuna kama wewe
ufananishwe na naniii
malkia w+ngu dunia yote hakuna kama wewe

Random Lyrics

HOT LYRICS

Loading...