azlyrics.biz
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

phellic & sugz - mawazo lyrics

Loading...

[intro: sugz]
yeah

[verse 1: sugz]
ulisema ukaniahidi
utanipenda utanthamini
ukanitenda ukankatiri, mieeehh
milega hum tumse ki mahaba
hakika yalishamiri mapenzi mahaba
heeh, milega hum tumse ki mahaba
hakika yalishamiri mapenzi mahaba

[pre+chorus: sugz]
nafikiria nafikiri
nikikuomba msamaha, utakubali
nafikiria nafikiri
nikikuomba msamaha, utakubali ehhh

[chorus: sugz]
mawazo, ohwooh+wowooh+wowooh
mawazo, aya yahya yayah
mawazo, ohwooh+wowooh+wowooh
mawazo

[verse 2: ph+llic]
ulitambua ukasema
kwamba wewe wanipenda
yale yote tulopitia
k+mbe yalikuwa bandia
ungesema toka mapema
kila kitu ungeniambia
kwamba wewe ushapata
mwingine wa kufaa
[chorus: ph+llic]
mawazo, wewe umeniachia (wewe umeniachia)
mawazo, moyo w+ngu unauma (moyo w+ngu unauma)
mawazo, wewe umeniachia (wewe umeniachia)
mawazo, moyo w+ngu unauma (moyo w+ngu unauma)

[pre+chorus: ph+llic]
nafikiria nafikiri
nikikuomba msamaha, utakubali
nafikiria nafikiri
nikikuomba msamaha, utakubali

[chorus: both, ph+llic]
mawazo, wewe umeniachia
mawazo, moyo w+ngu unauma



Random Lyrics

HOT LYRICS

Loading...