azlyrics.biz
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

phina - manu lyrics

Loading...

[verse 1 : phina]
kanivuruga mmh
kanichanganya somebody
jina simtaji
ila, nampenda mpenda somebody (eeh)
kifua kajaazia (huyo mkaka)
natamani kudandia (huyo mkaka)
chumbani tukiingia (huyo mkaka)
ana mguu wa bandi (huyo mkaka)

[pre chorus : phina]
natamani kuwaambia (huyo mkaka)
mashosti wataniibia (huyo mkaka)
anavyoipenda tabia (huyo mkaka)
nampa yote anasinzia (aaah)

[chorus : phina]
manu (manu, manu)
manu (nayafurahia manu)
manu (manu, manu)
nayafurahia manu
manu (manu, manu)
manu (nayafurahia manu)
manu (manu, manu)
nayafurahia manu
[verse 2 : jay melody]
alooh (once again)
na mengi, sijasema
vile ananitekenya
anavyonipa mapema
usiku ananipa tena
sa niwambie penzi tamu
akiniita w+ngu w+ngu
leo nimekupa offer
uje kw+ngu
namkuta kachanwa
miguu juu
huku nyuma kajaazia
natamani kudandia
la ukweli sio bandia
yote ananipatiaga

[pre chorus : phina]
natamani kuwaambia (huyo mkaka)
mashosti wataniibia (huyo mkaka)
anavyoipenda tabia (huyo mkaka)
nampa yote anasinzia (aaah)

[chorus : phina]
manu (manu, manu)
manu (nayafurahia manu)
manu (manu, manu)
nayafurahia manu
manu (manu, manu)
manu (nayafurahia manu)
manu (manu, manu)
nayafurahia manu



Random Lyrics

HOT LYRICS

Loading...