phinoshey - twisti lyrics
Loading...
yea ah
zilizopendwa yea ah
mziki ya lunch time
mziki yetu ani
mziki nene
eh twende!
verse:
me huskiza mziki za mabudaa na mashujaa
za ma guitar na matarumbeta
me huskiza mziki ngori ngori zilipendwa
ka kabaka twisti me hucheza
fiti me hukaba
niko 60 ninahanya
na wasupa wanakatwa
na kitambi wanadara
stingo ngori lava lava
meno bado iko
navunja mifupa
abdalla bado simama kidete(haha)
hook:
afrika yetu yote inapenda twisti
afrika yetu yote inacheza twisti
(whistling….)
Random Lyrics
- the vamps - protocol lyrics
- ratrace - coked up bulimia freestyle lyrics
- wstdyth - 7lights lyrics
- pressure - sthlm - nere men inte död lyrics
- luca latorre - particular lyrics
- la vida bohème - miami s&m lyrics
- hazima - меридианы lyrics
- meadows end - the insignificance of man lyrics
- polo g - haretless lyrics
- burden of the sky - principium lyrics