phy - shugli lyrics
kungoja nimengoja
kwa umbali sikuoni
sauti nasikia
imekuwa siku mingi
nimekupa siku mbili
ujionyeshe nyumbani
juu mw-ngaza ukitua
nina hili la kusema
wewe, wewe jipe shugli
nenda, nenda jipe shugli
wewe, wewe jipe shugli
nenda, nenda jipe shugli
matunda yameiva
si kazi yangu kuyachuna
na mwaka umepita
hujaonekana nyumbani, wewe
nimeongeza miezi mbili
ujionyeshe nyumbani
juu mw-ngaza ukitua
nina hili la kusema
wewe, wewe jipe shugli
nenda, nenda jipe shugli
wewe, wewe jipe shugli
nenda, nenda jipe shugli
usiku kitandani nalia nikiuliza
uko wapi wewe
usiku kitandani nalia nikiuliza
uko wapi wewe
usiku kitandani nalia nikiuliza
uko wapi wewe
usiku kitandani nalia nikiuliza
uko wapi wewe
wewe, wewe jipe shugli
nenda, nenda jipe shugli
wewe, wewe jipe shugli
nenda, nenda jipe shugli
Random Lyrics
- tchami - world to me lyrics
- ramin karimloo - one song glory lyrics
- flou - zero lyrics
- congal tijuana - pensando en tus ojos lyrics
- jarod - start 2017 lyrics
- beleleu - vai passar lyrics
- tim jordan - you still love me lyrics
- beleleu - bailarina lyrics
- humberto vargas & son de tikizia - piedra, papel, tijera lyrics
- l2b - the journey lyrics