
phy - una manzi lyrics
mrefu kama mlingoti
tamu kama mshikaki
nakucheki
pale pale
mweusi kama my coffee
mtanashati ooh baby nakucheki
pale pale
…
sijazoea kufanya hivi
niambie
sijazoea kufanya hivi
niambie
…
una manzi or can i have your number -2
kama una mimi najitolea
una manzi of can i have your number
can i have your number
can i have your number
can i have your number
…
twende uki niruhusu, nikakupige busu
nakucheki pale pale.
wazazi wakikubali, twende zetu tumarry
nakucheki pale mbele
…
sijazoea kufanya hivi
niambie
sijazoea kufanya hivi
niambie
…
una manzi or can i have your number -2
kama una mimi najitolea
una manzi of can i have your number
can i have your number
can i have your number
can i have your number
swaga yako baby balaa,
unafanya mimi fala
nakucheki pale pale
swaga yako baby balaa,
unafanya mimi fala
nakucheki pale pale
sijazoea kufanya hivi
niambie
sijazoea kufanya hivi
niambie
…
una manzi or can i have your number -2
kama una mimi najitolea
una manzi of can i have your number
can i have your number
can i have your number
can i have your number
Random Lyrics
- carlão - a minha cena lyrics
- daniel padilla feat. kathryn bernardo - give love on christmas day lyrics
- moneda dura feat. nassiry lugo - al sudeste lyrics
- rami kleinstein - matanot ktanot lyrics
- zoé - nunca lyrics
- no doubt - don't speak lyrics
- p. susheela - neevunde daa kondapai lyrics
- fábio goes - apenas simplesmente lyrics
- fly sugar money - a okay lyrics
- rezwana chowdhuri bonya - ami kaan pete roi lyrics