platform tz - chuki lyrics
dalili ya mvua mawingu
na mapenzi ni vita ndio nikuambie
nilishapiga na tunguli
kusaka amani ya penzi langu ila haikupatikana
najuwa ulinivisha na kiremba cha ukoka
nikiamini ni kata
na unatambua haya mapenzi ni vita mazima ukakata na shina
sitaki kuamini mapenzi upofu
maana kwingine nitapenda
j+po na moyo uliupa makovu
hadi na nuru ikazima
sitaki kuamini upofu
maana kwingine nitapenda
iyeeee eeeh eeeh heee
j+po ulinipa makovu uuu uwo uwo oooh
chuki chuki
iyeiyeiye iyee eeeh uwo wouwo
nimeyanawa kwa viganja vyangu viwili
yote sawa
siwezi ng’ang’ana na pendo uwouwooh
unione chawa
mapenzi wanashare sikuizi hakuna tena kupendana
na hata ukikaza utalegeza aah
na mwisho wa siku mtabwagana
sitaki kuamini mapenzi upofu
maana kwingine nitapenda
j+po na moyo uliupa makovu
hadi na nuru ikazima
sitaki kuamini upofu
maana kwingine nitapenda
iyeeee eeeh eeeh heee
j+po ulinipa makovu uuu uwo uwo oooh
chuki
kwakunidanganya wanipenda sana
moyo ukaujenga
chuki
ukazichanganya hasi ikawa chanya
moyo ukaujenga
chuki
ulonifanya niyachukie na mapenzi ni wewe eeh
chuki
oooh wewe ati wanipenda sana nipenda sana
uwowouwo
Random Lyrics
- rage n' rox - never wanted lyrics
- tami lance - plastic (what are you?) lyrics
- gods wisdom - what the hell lyrics
- ashton zautke - life is just a game lyrics
- smoke bush - знаю (i know) lyrics
- nedonebo - весело (fun) lyrics
- dvlla - goodbye lyrics
- the lightspeed deadbeat - hellos & goodbyes lyrics
- gee staff - capital bra x kontra k - überall feinde ! (remix) ! lyrics
- lafee - heul doch (80's version) lyrics