azlyrics.biz
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

pregnancy music for relaxation and yoga - harmonize your intentions lyrics

Loading...

wasafiii(aiyola aiyola iyeeh)
aiyola mama(aiyola aiyola iyeh)
mhm nilifundishwa na bibi
kijijini jinsi ya kupenda
na mwanamke hapigwi
na ngumi ila upande wa kanga
tena mapenzi sio ligi
nikakubali kushindwa
nisipofunzwa viladi
tushindane risasi kwa panga
mbona nilikuthamini
mengi nkakusevia(ahhh ahhh)
sitosema hadharani wengi wakayasikia(ahhh ahhh)
siwakunipanda kichwani huk-mbuki tulipotekea(ahh ahh)
na kunishusha thamani kipi nilichokosea(ahh ah ahhh)
ingawa kigodo nlichopata nkajinyima uridhike
ila ukijali ukanikatili moyo
majirani walinichekaa ulipoforce nipike
ahh sio siri ilinifunja moyo
ohh kisirani ugomvi bila chanzo
ni kweli upo moyoni sina budi nilivue pendo
ingawa kishingo upandee(aiyola aiyola ieyeh)
sitoforce unipende(aiyola aiyola ieyehh)
ohhh kishingo upande mama(aiyola aiyola ieyehh)
basi bora uende mama
sitosema mapenzi basiii nmeumbwa na moyo
moyo wenye matamanio na unapenda pia
ila nitaijutia nafsi nilikufanya chaguo
ah chaguo la moyo k-mbe ulipita njiaa
aaa nilivyowanyima ndugu vyasiri nkakutunzia
usije leta vurugu akili ukaitibua
najuta kujitia bubu sitaki vya kusikia
kisa pendo unisulubu mengi nshayafungia (ehhhhh)
mbona nilikuthamini
mengi nikakusevia ahhhh ahhhhh
sitosema hadharani wengi wakayasikia(ahhhhh ahhh)
si wakunipanda kichwani huk-mbuki tulipotokea ahhh ahhhh
na kunishusha thamani kipi nilichokosea(ahhhh ahhhh)
kisirani ugomvi bila chanzo
ni kweli upo moyoni sina budi nilivue pendo
ingawa kishingo upande(aiyola aiyola iyehh)
sitoforce unipende
aiyol aiyola ieyeh
oh kishingo upande mama(aiyola aiyola ieyehh)
basi bora uendee maa(aiyola aiyola iyehh)
ingawa kishingo upande(aiyola aiyola iyeh)
sitoforce unipende(aiyola aiyola iyeh)
ohh kishingo upande mama(aiyola aiyola iyeh)
basi bora uende maa(aiyola aiyola iyeh)
kishingo upande, kishingo upande(ahhh ahh) na maximaizo ohh (ahhh ahhh)
am nice baby, am nice baby(ahh ahh)
dibili on (ahhh ahhh)



Random Lyrics

HOT LYRICS

Loading...