prof. jay - niamini lyrics
niamini (sema)
nataka uwe na mimi (mama)
watu wenye fitina w+n+leta majungu uachane na mimi (ye, ye, ye)
hivi kwanini (sema)
hutaki kuniamini (mama)
nyoyo ziko pamoja mpaka siku ya kifo uanze we au mimi (ye, ye, ye)
niamini (sema)
nataka uwe na mimi (mama)
watu wenye fitina w+n+leta majungu uachane na mimi (ye, ye, ye)
hivi kwanini (sema)
hutaki kuniamini (mama)
nyoyo ziko pamoja mpaka siku ya kifo uanze we au mimi (ye, ye, ye)
nakupenda sana ingiwa wanakuita demu wa uswazini
penzi lako la kweli ndo kitu nachothamini
kipepeo cha moyo we sema unachotaka
jinsi unavyoenzi kipenzi sina mashaka
tulipanda milima tukaja kwenye mabondе
na sasa ni tambarare tufanye w+nga wakonde
kotе tunakopita wamemwagia mbigiri
njoo nik+mbatie tufe tukiwa wawili
hushangai, tukigombana tu wanafurahi
na tukiwa pamoja wanashindwa kutusabahi
walishakuja kw+ngu kunipa habari zako
nikawatoa mbio kulinda heshima yako
kw+ngu wamenishindwa wamegeuza kibao
changanua mapema upime akili zao
ni maisha yo liz, twende tujikongoje
maisha safari ndefu sijui mbele kukoje
wanasema mi nakunywa wee, nalala kwenye baa
wanasema mi ni bingwa la ngono kwenye mitaa
wanasema mi nimeshawataka wamekataa
kwako napiga goti yoh twende ki+superstar
niamini (sema)
nataka uwe na mimi (mama)
watu wenye fitina w+n+leta majungu uachane na mimi (ye, ye, ye)
hivi kwanini (sema)
hutaki kuniamini (mama)
nyoyo ziko pamoja mpaka siku ya kifo uanze we au mimi (ye, ye, ye)
niamini (sema)
nataka uwe na mimi (mama)
watu wenye fitina w+n+leta majungu uachane na mimi (ye, ye, ye)
hivi kwanini (sema)
hutaki kuniamini (mama)
nyoyo ziko pamoja mpaka siku ya kifo uanze we au mimi (ye, ye, ye)
yoh, nikwamba
mi nashukuru sana, umeniamini kwa sana
hukufata maneno ya w+nga waliochonga kwa sana
miss manana baab kubwa, hiyo ndo dhana
wala hukunikana asante sana mi sitokukana
tulifarakana tulikaa chini, tukapatana
bila kugombana na ndio maana hatujatengana
tukasamehana bila kutosana, endelea kukazana
visa vizabina maji ya shingo sa chupi zinabana
vichwa vinagongana wanaulizana, hatujaachana
wanapigwa na bumbuwazi kuona bado tunak+mbatiana
tunashirikiana, na tunafanya vitu vya maana
na haki ya mungu nakuahidi mi ndo wa dhamana
nakata mzizi wa fitina we ni w+ngu wa kuzikana
mwingine hakuna, vita vya manyoya sasa hapana
kwani maneno yalizidi hasa kwa w+nga na mahasidi
na wengine waliahidi lazma watumwagie acid
eti hakomi kutupwa na napiga sana mchupa
hautachukua round kw+ngu mi ntakutupa
haukufanya pupa haukuogopa, hungenichoza
ya mungu mengi leo hii kwetu mambo ni super
na yote aliyoahidi kwako mimi lazima nitakupa
usiwe na pupa, tulia, mi ndo simba
unanipaga hamu, na hilo napenda ufahamu
nak+mbuka maneno yako matamu, mi nakupenda wewe
unanipa kiwewe, ubavu w+ngu wa pili ni wewe
napenda uelewe, niamini ni mimi na wewe
niamini (sema)
nataka uwe na mimi (mama)
watu wenye fitina w+n+leta majungu uachane na mimi (ye, ye, ye)
hivi kwanini (sema)
hutaki kuniamini (mama)
nyoyo ziko pamoja mpaka siku ya kifo uanze we au mimi (ye, ye, ye)
niamini (sema)
nataka uwe na mimi (mama)
watu wenye fitina w+n+leta majungu uachane na mimi (ye, ye, ye)
hivi kwanini (sema)
hutaki kuniamini (mama)
nyoyo ziko pamoja mpaka siku ya kifo uanze we au mimi (ye, ye, ye)
amini amini, tuko pamoja safarini
wala sigeuki, nipo makini na wenye chuki
hivi ujabaini? wanakudanganya maneno lukuki
eti napenda chini, eti nakuhasi na hugutuki
hivi inaingia akilini, ni muda gani na ni lini?
siku hiyo hatukuwa pamoja? kama si huzushi ni nini?
w+nga wanajikongoja navyokupenda kwa ukalando
mwana wametunga hoja, tutengane iwe furaha
iwe tazamia vioja, usiwaamini mara moja
wengi ni vizabi zabina, wapiga majungu na wafitina
magwiji washirikina, pima vyema tena kwa kina
tusije tukaachana, tutawapa msemo wageni iwe meno
itakuwa haina maana, mara tu tumefarakana
pia itakuwa aibu, tujaribu kuvumiliana
mapenzi ni taratibu, mambo ya jana sio ya leo
tusije tukaharibu, hebu sikia sogea karibu
nani wa kunigiribu? kwako sioni, sisikii
ukiacha utaniadhibu, we nipe raha, nipe dhabibu
mpaka ntakapokufa, tushirikiane kuziba ufa
w+nga wasitufate, nafurahi unavyonipenda
usije ukasema asante, we nipe denda, nipe mate
mama subiri fungate, mzizi wa fitina tena tukate
wewe na mimi (mimi), niko radhi kula yamini
wewe na mimi (mimi), mama lily hebu niamini
Random Lyrics
- aaron cole - i love it lyrics
- dri.mp3 - jornal nacional lyrics
- caleb kopta - outta my head lyrics
- eighteen01 - worked hard lyrics
- damien styles & conner - small town kids lyrics
- hgh (norway) - country chris lyrics
- marowhite - gölge imparatorluğu lyrics
- malo - pas de semblant lyrics
- the intelligence - fuck eat skull lyrics
- tsj leolo - love me like i'm dead lyrics