prof. jay - [prof. jay - hapo sawa] lyrics
[chorus]
kindergaten mpaka chuo kikuu; downtown
kwa machizi na masister duu; mikono juu
hapo vipi? hapo sawa!
hapo vipi? hapo sawa!
hapo vipi? hapo sawa!
hapo vipi? hapo sawa!
magharibi mpaka nyanda za juu; kanda ya ziwa
kaskazini mpaka east zoo; i’m coming through
hapo vipi? hapo sawa!
hapo vipi? hapo sawa!
hapo vipi? hapo sawa!
hapo vipi? hapo sawa!
[verse 1]
upper cut chembe kidevu; lazima hukae
nachana zaidi ya wembe kama mwerevu usinishangae
mi si kiongozi napigania ukombozi
nakaba kooni zaidi ya jinamizi kwenye njozi
nasaka haki sio kilio cha samaki;
machozi kwenda na maji
hiki kipaji sio bahati
akili yangu sio uwanja wa majaribio
neno langu linaongeza faraja kwenye vilio
nafikiri nifike, sisemi tu nisikike
jasho langu linafanya malengo niyafanikishe
niko tayari kwa heri ama kwa shari
jino kwa jino ukimwaga mboga namwaga ugali
maisha yenyewe kamari hatari ndani ya safari
kichwani vina kama mchanga wa bahari
huyu ni mwibili w-ngapi mnawabashiri
na kuwavisha mataji kwa vina vya tafsiri
[chorus]
kindergaten mpaka chuo kikuu; downtown
kwa machizi na masister duu; mikono juu
hapo vipi? hapo sawa!
hapo vipi? hapo sawa!
hapo vipi? hapo sawa!
hapo vipi? hapo sawa!
magharibi mpaka nyanda za juu; kanda ya ziwa
kaskazini mpaka east zoo; i’m coming through
hapo vipi? hapo sawa!
hapo vipi? hapo sawa!
hapo vipi? hapo sawa!
hapo vipi? hapo sawa!
[verse 2]
ili nifanikiwe nahitaji marafiki
ili nifanikiwe zaidi nahitaji maadui
mkononi sina tattoo bali nina alama ya ndui
mtanzania namba moja majungu hayasumbui
mchaka mchaka nakimbiza kila upande
simtumikii kafiri ili charti yangu ipande
get off my shoulder ngoma inavuka border
muda unazungumza wa mia hapati moja
pori kwa pori hapa beep mmebaki story
kama zama za mtikila na sera ya kabacholi
naishi biashara daima siogopi hasara
na mara kwa mara hii busara huepusha madhara
napoza nile kama nahisi cha moto
napokea matatizo yangu kama changamoto
nipo ili nife nanena bila kificho
naitunza heshima yangu zaidi ya mboni ya jicho
[chorus]
kindergaten mpaka chuo kikuu; downtown
kwa machizi na masister duu; mikono juu
hapo vipi? hapo sawa!
hapo vipi? hapo sawa!
hapo vipi? hapo sawa!
hapo vipi? hapo sawa!
magharibi mpaka nyanda za juu; kanda ya ziwa
kaskazini mpaka east zoo; i’m coming through
hapo vipi? hapo sawa!
hapo vipi? hapo sawa!
hapo vipi? hapo sawa!
hapo vipi? hapo sawa!
[verse 3]
wewe bora mwanamziki; mimi mwanamziki bora
chance zetu hazifanani kama mafua na ebola
mwenye hekima huona haja na kijificha
bali mpumbavu huenda mbele na kuvimba kichwa
nani anabisha? simama kudhibitisha
niite mwanaharakati hip hop naiwakilisha
fanya ufanyavyo akili yangu haiko petty
unataka kuwa jay copy kama double decki
siui mende kwa nyundo maana nitaumia mimi
na ndiyo maana nawadharau mnaotaka beef na mimi
born town kitambo utanieleza nini?
wakati huo wengine wenu hata hamjakuja mjini
[chorus]
kindergaten mpaka chuo kikuu; downtown
kwa machizi na masister duu; mikono juu
hapo vipi? hapo sawa!
hapo vipi? hapo sawa!
hapo vipi? hapo sawa!
hapo vipi? hapo sawa!
magharibi mpaka nyanda za juu; kanda ya ziwa
kaskazini mpaka east zoo; i’m coming through
hapo vipi? hapo sawa!
hapo vipi? hapo sawa!
hapo vipi? hapo sawa!
hapo vipi? hapo sawa!
kindergaten mpaka chuo kikuu; downtown
kwa machizi na masister duu; mikono juu
hapo vipi? hapo sawa!
hapo vipi? hapo sawa!
hapo vipi? hapo sawa!
hapo vipi? hapo sawa!
magharibi mpaka nyanda za juu; kanda ya ziwa
kaskazini mpaka east zoo; i’m coming through
hapo vipi? hapo sawa!
hapo vipi? hapo sawa!
hapo vipi? hapo sawa!
hapo vipi? hapo sawa!
Random Lyrics
- tevski rapid - b.u.r.g.e.r. lyrics
- lisa leblanc - motel lyrics
- mikko herranen - pakkomielle lyrics
- beth carvalho - saudosa maloca lyrics
- the vaselines - i hate the '80s lyrics
- j.c. chasez - if you were my girl lyrics
- fatima mansions - lady godiva's operation lyrics
- the vandals - and now we dance lyrics
- swing out sister - communion it's not enough lyrics
- young lincoln [band] - shaky hands lyrics