azlyrics.biz
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

puddy - best rapper lyrics

Loading...

best rapper
am back again, usiyemtegemea kaja
ukiweka mguu navunja nachakaza kila mada
god akibless ni fresh na life kama fanta
eyo rasta mifumo izingatiwe kama backa

from the pain na mpka kuipata furaha
n+gger ffom the street shelia ni kusaka chapaa
licha ya kupitia misoto migimu balaa
bado sikiacha kusali kuf+kia majeraha

na niko busy all day napate choo
ni mwendo wa business kiopambania dow
never give up na izo weekess kw+ngu no
nitabaki kuwa mshindi na sio wa kutoa droh

vile nimechaf+kwa ka dunga mawe
kifua wazi na scot ka naitawala kawe
itikadi sio za unyonge ata nikufe kwa mawe
big up kwa wqsaka tonge na tonge liwe na we

forcus kwa kile kitu ambacho unakiona big
pambana na hali yako mi bado tunaupiga mwingi
n+gger force usife njaa komaa hadi mwisho wa firimbi
i wanna to thenk god kwa kila nafasi ya ushindi
na sivinbi
haisimami 120 kwenye kona
nikipota ni kibati km ngwea wa dodoma
verce zimejaa upako young rapper nawaponya
ukijikuta mm sipo pande zako za kunyonywa

sijazoea ujinga
any day mungu yuko nami
na wapi imeandikwa pesa ni adui au ninshetani
maana ndo pic niliyomit nayo since day one
kama haujui ndo utajua na mpira upo gambani

kama chako kitadumu na kitakunufaisha
chukua wazo ila wazo lakwako ndo la uwakika
binadam km sinki ukimnyea anakusafisha
hata umpende vip malipo ni ya kudhalauliwa

dunia inanipa somo tofauti ya mm na chapaa
watanikubali nikiwa nacho ndugu jamaa
mungu nipe nguvu ya kupambana na machang’a
nuru ikiwa hai wnakazana kuzima taa

rap toka mdogo
meza na vigogo
kabla ya kuitwa puddy mama alinibless fogo
hip hop ndo mchongo
chukua form mtt mdogo
i can belive hakuna wa kuishusha hii logo
na kabla ya kuwa hapa nishafungaga novena
haya maneno sio ya siri na ndomana nasema
uo mchakato uko vipi au mgod aujatema
moyoni sina baya any time nawaza mema

sisimami kama saa
muda w+ngu chapaa
unainjoi vip wakat familia inalala njaa
nilipo giza ila jirani amewasha taa
maamuzi ni yako yupi haumtak yupi anafaa

nishazika sana watu naowapenda af safi
roho ya chuma ukizingua nakususia tagi
wanangu wa mtaa toka way back wamenip taji
na sina stori na wana washenzi na wasengenyaji

am proid ma self
mungu ananibariki
ingawa naishi na wema ila nimezungukwa na wanafiki
napumzika napochoka niweze kujenga brige
huu mchezo hauna red kadi embu mshtue mchizi

mzuka kama chamtume kipikwe jela
doller ukizum beat naflow hata kapela
ukicheki navyong’a kama nipo chini ya hela
chamsingi zingatia heshima usije vishwa dela



Random Lyrics

HOT LYRICS

Loading...