put2sleep (feat. brian simba & kanno) - mbongo lyrics
[intro]
kevoonikwikwiri!!
aaah! (brian simba)
[chorus: brian simba]
mbongo naishi maisha
mbongo naish maisha
mbongo naishi maisha
we nipe dili tu nasababisha
mbongo naish maisha
mbongo naish maisha
wabongo tunakinukisha
ukiwaisha ni noma kabisa
[verse 1: brian simba]
mbongo naish maisha
we unaish kindezziii
mi na wanangu tupendi michezo hata kama tukitinga jersey
hii nimeitunga uf+kweni… na mcheni.. na baby kamkamata maria jeni
imempa mavibe kavua na hereni.. sahvi natafuta chumba cha ugeni
cha kwanza ni chips mayai
cha pili ni pshhhht nifurahi
cha tatu tukikianzisha haijafika usiku na dah!. sifaii
maisha yenyewe ndo haya mabapa na pisi ndo zinansabai
jpili ni wine . nilienda church mchana nikaanza divai
mbongo naish maish na pis kabisa ka nicki minenga
machiz wanamdatisha huyo demu na mshiko ila pisi lkanpenda
huwa alinpiga calendar… teleza mwanzo kajionaga mlenda
ila si uncle ka wenger na ananieshimu ka mheshimiwa temba
[chorus: brian simba]
mbongo naishi maisha
mbongo naish maisha
mbongo naishi maisha
we nipe dili tu nasababisha
mbongo naish maisha
mbongo naish maisha
wabongo tunakinukisha
ukiwaisha ni noma kabisa
[verse 2: kanno]
mbongo nina usongo, asubuhi chai nashusha na bondo
mchana ni ah!, maji kufata mkondo
ila viwalo ni proper nidake ig nkijipa mapromo
ndani ya jiji la joto, pisi nakula mchana
mbongo nasaka mshiko nacheza kamali, nacheza malotto
nile maburger nibebe manondo
nijenge chest nibebe watoto
na hao wanapenda mikopo, mwanangu hupati ukiwa alosto
ndo maana mi,nikizinyaka nawananii
kisha nasepa
mi sifanani na repas, hao unasa kwa shorty za umma
baadae ni switch challenge kuvaa mathong sababu ya ku…ah
wahuni habari hatuna, kishakukanda ch0m+ka ka duma
afu sepa na boda ya mwana atamaind ukisepa na uber aaaaiii!!
[chorus: brian simba]
mbongo naishi maisha
mbongo naish maisha
mbongo naishi maisha
we nipe dili tu nasababisha
mbongo naish maisha
mbongo naish maisha
wabongo tunakinukisha
ukiwaisha ni noma kabisa
[chorus: brian simba]
mbongo naishi maisha
mbongo naish maisha
mbongo naishi maisha
we nipe dili tu nasababisha
mbongo naish maisha
mbongo naish maisha
wabongo tunakinukisha
ukiwaisha ni noma kabisa
Random Lyrics
- mc hzim - sem crises lyrics
- larnelle - livin' inside your love lyrics
- subzonic - die ganz wält lyrics
- rapboy - tfn lyrics
- dashboard confessional - several ways to die trying (re-record) lyrics
- noah reid - hold on lyrics
- randy rogers & wade bowen - rhinestoned lyrics
- lucinnio - the spaghetti song (staying home) lyrics
- n8h - truth lyrics
- yung beef - mami me duele lyrics