azlyrics.biz
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

q chief - uwapende sana lyrics

Loading...

ninachokipata eee nagawana na wenzangu

ondoa mashaka
eee leo sio juzi
it does matter aaya
kikubwa pumzi
kiko muvi,
it does matter ayayaa
unachotaka usisahau ukikipata,
ukipata usisahau kuna hom
k+mbuka ni mungu juu ya vyote,
tazama juu,
utaniona nuru
baba god baba god baba god baba god jerusalema.
yayayaaa nawapenda sana we ×2
mpatie chumvi jirani,
usisubiri shukuran,
usiweke kisirani ukayaweka moyon kifuani,
cha mwingine usitamani
hatuwez kufananaa,
ndivyo ilivyo duniani jitiada tafuta utapata,
unachotaka usisahau ukikipata
ukipata usisahau kuna hom
k+mbuka ni mungu juu ya vyote,
tazama juu utaiona nuru
baba god baba god baba god baba god jerusalema.
yayayaaaa nawapenda sana we
nawapenda sana we yayaya
yayaaaa nawapenda sana we ×2



Random Lyrics

HOT LYRICS

Loading...